Rais yupo pwani wananchi tumesimama foleni kutoka Mdaula mpaka chalinze mabus yamesimama

kundapani please unaweza kutuma picha zaidi,sorry guys sio kuwa nimekuwa ignorance ila maisha ya wananchi yasimame hivyo reasons behind our no 1 he is in town?,mpaka karne hii haya mambo bado yapo?,nimeshuhudia misafara mingi tu ,including US president ila hayakuleta usumbufu mkubwa kwa raia,always vyombo vya usalama vinajitahidi mno kutoathiri mno,why wasimamishe line nzima kwani huwezi kupishana na msafara wa Rais?
Tembelea America kajifunze
 
9a75164e648e17e9145d259fe9f8a6ed.jpg
HILO TU MBONA HUKUSEMA MLIPOMPIGIA LOWASSA DEKI BARABARA YOTE
 
Alichagua size ya kanzu henzerani za makalio khamsa zinamuhusu!kwa mtazamo tu rais anavaa size 55 hii 58kapewa na nani?hii inawafaa watu kuanzi ft 58 kwenda mbele huko
Hivi kwani akienda kwenye shughuli ya waislamu lazima avae kanzu na balaghashia? Siku ile alikwenda jeshini akavalishwa magwanda ya kijeshi yale kidogo yalimtoa akawa kama Shwazniga. Sasa akienda kutembelea shule ya msingi au sekondari itakuwaje?
 
Back
Top Bottom