Rais yuko sahihi kutoongeza mshahara kwa sasa

Watumisha hawana noma washakuwa wachina wanafanya kazi kulingana na wanacholipwa tutaelewana tu
 
awamu iliyopita, kama una kumbukumbu vizuri, mishahara ilikuwa haieleweki tarehe ya kutoka, na wakati mwingine hadi mwenzi mwingine ndo mnalipwa... Hyo yote ni matatizo ya kufurahisha Wat u, wakati huna uwezo wa kuwalipa hadi ukakope ndo ulipe wafanyakazi,kama ni Biashara ukifikia hiyo hatua, tunasema unaelekea kufilisika.

awamu iliyopita miradi mingi ilikuwa ni miradi ya watu kwa kivuli cha Serikali....ndo maana nchi ilikuwa inaenda kubaya sana kwa wanakumbuka na wanaojua watanielewa.
Miradi ya sasa ni kwa maslahi mapana ya Taifa na si watu wachache.
Amini usiamini baada ya miradi Yotekukamilika, nchi itapiga hatua sana kiuchumi, na kwa Wafanyakazi, yajayo yanafurahisha.... (baada ya dhiki ni faraja)
Umeanza lini upum.bavuu??
 
Sheria inasemaje?
Binafsi niseme kuwa mimi ni mtumishi wa umma.
Suala la watumishi kusubiri kila mwaka wapandishwe mshahara, imekuwa hoja ya kila mei mosi.

Binafsi nimevaa uhusika wa Rais na kuona hata Km ndo ningekuwa mm nisingeongeza mshahahara eti kwa msukumo wa watu wanasema nini.

Miradi ya sasa ya Vitega uchumi inayoendelea, ndilo suluhisho la maslahi madogo kwa wafanyakazi..
Uzalishaji ukianza, Serikali itakuwa na uwezo Mkubwa wa kupandisha mishahara pasipo kuwaza mishahara itapatakana vipi na wapi.

Kwa sasa km angeongeza, kweli ingekuwa mzigo mzito Kwan uzalishaji uko chini. Huwezi kulipa mishahara watumishi Kwa kukopa eti kuwafurahisha wafanyakazi... Hyo siyo sawa.

##Hongera mheshimiwa Rais John P. Magufuli kwa maamizi ya hekima na uzalendo.
Wasioelewa kazi yao ni kuponda tu.
 
Umetumwa wewe, ficha ujinga wako
awamu iliyopita, kama una kumbukumbu vizuri, mishahara ilikuwa haieleweki tarehe ya kutoka, na wakati mwingine hadi mwenzi mwingine ndo mnalipwa... Hyo yote ni matatizo ya kufurahisha Wat u, wakati huna uwezo wa kuwalipa hadi ukakope ndo ulipe wafanyakazi,kama ni Biashara ukifikia hiyo hatua, tunasema unaelekea kufilisika.

awamu iliyopita miradi mingi ilikuwa ni miradi ya watu kwa kivuli cha Serikali....ndo maana nchi ilikuwa inaenda kubaya sana kwa wanakumbuka na wanaojua watanielewa.
Miradi ya sasa ni kwa maslahi mapana ya Taifa na si watu wachache.
Amini usiamini baada ya miradi Yotekukamilika, nchi itapiga hatua sana kiuchumi, na kwa Wafanyakazi, yajayo yanafurahisha.... (baada ya dhiki ni faraja)
 
nimesema mimi ni mtumishi wa Serikali,. Na kuja na mjadala huu, nimevaa uhusika kuwa, endapo ningekuwa Rais wa nchi, hata mimi kwa wakati huu ningefanya maamuzi aliyofanya Magufuli.
Wengi hoja zenu mnazileta, pasipo kuvaa uhusika wa uongozi...Mnatoa hoja either kwa mkumbo, na hisia za ubinafisi lakn si uzalendo na kujua nchi hii, ilikuwa ,wapi na iko wapi na inaelekea wapi kwa Kiongozi tulie nae.

Weka ubinafsi pembeni na na chambua mambo Km Kiongozi na Mwenye uzalendo kwa taifa hili.

Huwezi pandisha mishahara kwa kutegemea mikopo, utakuwa mtu wa ajabu sana.

anachokifanya ni kutengeneza Mazingira ya uwezo wa kulipa mishahara bila kukopa.
Upo unajizungusha kwenye kochi la shemeji yako unajiita mtumishi wa umma. Kichwa maji kweli wewe.
 
Hawa hawa ndio walisema mishahara itapanda, leo hawa hawa Tena ndio wanaunga mkono.... Duh huu Umalaya ni wa kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom