Rais Yoweri Museveni awasili Mombasa kwa ziara rasmi ya siku mbili

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,923
13,345
MUSEVENI-ARRIVAL-MOMBASA.jpg
vybrg8u0yr5fmzi6gz5c9b42fa7230d.jpg
Museveni-inspects-Kenya-gaurd-.jpg
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewasili Mombasa leo hii asubuhi. Alipokewa na mwenzake rais Uhuru Kenyatta kwenye uwanja wa ndege wa Mombasa Intl. Airport. Viongozi wengine ambao walimpokea pia ni pamoja na Naibu Rais William Ruto na Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho. Rais M7 na U.K. waliandamana moja kwa moja hadi ikulu ya Mombasa kwa majadiliano. Baadhi ya masuala ambayo watayajadili ni pamoja na kuboresha kasi ya usafirishaji wa mizigo ya Uganda kutoka bandari ya Mombasa. Watajadili kuhusu reli ya SGR pia ambayo Museveni yupo makini kuona ujenzi kutoka Naivasha-Kisumu-Malaba hadi Uganda ukikamilika. https://www.standardmedia.co.ke/bus...eni-arrives-in-mombasa-for-state-visit-photos
 
klunrcj7rudgp5c9b44326f96c.jpg
Akiwa na 'Sultani', Gavana wa County ya Mombasa Ali Hassan Joho na 'Hustler', Naibu Rais William Ruto punde tu alipowasili.
wtqf5hidcjkbelyf5c9b439e9bacf.jpg
 
Liko kwenye hati hati na baada ya kuwatundika 3 kwa nunge anaweza kulipitisha Kenya 😎
Hahahahahahah,ila kiukweli nilisikia TOTAL sijui wanalalamika nini,wanaweza badili mawazo na likapitia Mombasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Begging uganda to keep using mombasa port after they threatened to abandon it with its SGR
ugua pole pole tu...yani hakuna vyenye mseven angechagua reli ya tanzania...

economics zinasemaje kuhusu hzo gharama za uhuru kuenda mombasa kw kutumia ndege...si huoni ni gharama anatumia kodi za wananchi vibaya...na km ni bandari angeliipiga picha na kumtumia museven kuliko ya kuharibu kodi kw gharama zote hzi....
 
Uhuru is the most wasteful president kenya has ever seen..Organising a huge ceremony with 21 gun salute for a neighbour like M7 is just extravagance..
How many times has museveni/kagame et al been to Dar cut huge deals in infrastructure and business and you bearly know that a president was visiting?
Uhuru is obsessed with ceremony and pomp which he himself does not even receive when he visits other countries..He foolishly thinks 21 gun salutes for dictators will bring in business deals..What a fool
 
Your jealousy knows no bounds.
How many 'millions' do you think 21 gun salute cost?
And Museveni has been to Tanzania like 2 times in the past 5 years. As opposed to like 20 times in Kenya.

In almost all of those times he has been to Kenya, there are no gun salutes, because if you were bright enough, you would know how to differentiate a normal visit from a state visit.

Every president on a state visit gets a gun salute. Museveni is on a state visit.
 
MUSEVENI-ARRIVAL-MOMBASA.jpg
vybrg8u0yr5fmzi6gz5c9b42fa7230d.jpg
Museveni-inspects-Kenya-gaurd-.jpg
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewasili Mombasa leo hii asubuhi. Alipokewa na mwenzake rais Uhuru Kenyatta kwenye uwanja wa ndege wa Mombasa Intl. Airport. Viongozi wengine ambao walimpokea pia ni pamoja na Naibu Rais William Ruto na Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho. Rais M7 na U.K. waliandamana moja kwa moja hadi ikulu ya Mombasa kwa majadiliano. Baadhi ya masuala ambayo watayajadili ni pamoja na kuboresha kasi ya usafirishaji wa mizigo ya Uganda kutoka bandari ya Mombasa. Watajadili kuhusu reli ya SGR pia ambayo Museveni yupo makini kuona ujenzi kutoka Naivasha-Kisumu-Malaba hadi Uganda ukikamilika. https://www.standardmedia.co.ke/bus...eni-arrives-in-mombasa-for-state-visit-photos
kule Kagame kwa JPM, huku M7 kwa Uhuru.

hii movie inaelekea kutamu hii!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
UK yuko busy sana kumshawishi M7 abadili mawazo na hilo la kubadili mawazo linaweza kabisa kutokea.
Hilo sahau...Bomba kuhamishwa kwa sasa haiwezekani..Kwa sasa navyo ongea kuna makampuni yapo kazini yakifanya detailed design ya bomba hapa Tanzania....!! Nitakupigia picha siku nikipita watapo kuwa wameweka kambi
 
Your jealousy knows no bounds.
How many 'millions' do you think 21 gun salute cost?
And Museveni has been to Tanzania like 2 times in the past 5 years. As opposed to like 20 times in Kenya.

In almost all of those times he has been to Kenya, there are no gun salutes, because if you were bright enough, you would know how to differentiate a normal visit from a state visit.

Every president on a state visit gets a gun salute. Museveni is on a state visit.
Such a ceremony takes atleast 100m ksh in logistics et al..If you add the numerous trips uhuru takes abroad every week with zero results(among Least FDI in EAC) The figurez are in billions..JPM outflanks the drunkard with a shoe string budget and puts his Foreign affairs personnel to work..In kenya it seems like the president is without a foreign affairs ministry or embassies abroad as he is mostly out.
 
I don't know what he meant but you can tell me more
Such a ceremony takes atleast 100m ksh in logistics et al..If you add the numerous trips uhuru takes abroad every week with zero results(among Least FDI in EAC) The figurez are in billions..JPM outflanks the drunkard with a shoe string budget and puts his Foreign affairs personnel to work..In kenya it seems like the president is without a foreign affairs ministry or embassies abroad as he is mostly out.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom