#COVID19 Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya maombi ya kitaifa kumshukuru Mungu

Aidha rais huyo amewasisitiza wananchi kubaki majumbani mwao huku wakifanya maombi.

Wewe si ulitukejeli kwa hatua zetu za maombi ya siku tatu?
 
90% ya wafanyakazi Uganda wamepunguziwa mshahara na kuna mwalimu wa shule binafsi baada ya kukosa mshahara anauza mahindi ya kuchoma ila anapata changamoto ya kufukuzwa na maskari.

Source BBC Swahili.
 
Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya maombi ya kitaifa kumshukuru Mungu

Aidha rais huyo amewasisitiza wananchi kubaki majumbani mwao huku wakifanya maombi.

K
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom