chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,983
- 20,634
kwa mara ya kwanza tunashuhudia wilaya mbili zinazopakana kila moja ikiwa nana uwanja wa ndege
wilaya ya kwanza kuwa na uwanja wa ndege mdogo (airstrip) ni Biharamulo
ni uwanja mzuri tu kama ukikarabatiwa,na umbali kutoka uwanja huu kwenda uwanja wa chato,haizidi kilometa 20! kiasi kwamba haitaleta mantiki kupanda ndege kutoka biharamulo mpaka chato maana itakuwa safari ya sekunde,
nini mantiki ya kuacha kuuboresha uwanja huu uliojengwa mpakani mwa chato na biharamulo na kwenda kujenga uwanja mwingine tena karibu na wa zamani?
ile barabara ya biharamulo bwanga ulichepusha,hata uwanja wa ndege pia?
kuweka viwanja viwili vya ndege kwa umbali wa kilometa 20 kutoka kiwanja kimoja,kwa nchi masikini kama Tanzania ina tija ?
kwa wale, wabishi,unaweza ku google,ingia google andika biharamulo airstrip,utamwagiwa mzigo mzima kuhusu uwanja huu,hata google wanaujua !