Rais ,Wilaya ya Biharamulo kuna uwanja mdogo wa ndege,kwanini usiuboreshe huo?uko chini ya kilometa 20 kutoka Chato!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,981
20,627
kwa mara ya kwanza tunashuhudia wilaya mbili zinazopakana kila moja ikiwa nana uwanja wa ndege

wilaya ya kwanza kuwa na uwanja wa ndege mdogo (airstrip) ni Biharamulo

ni uwanja mzuri tu kama ukikarabatiwa,na umbali kutoka uwanja huu kwenda uwanja wa chato,haizidi kilometa 20! kiasi kwamba haitaleta mantiki kupanda ndege kutoka biharamulo mpaka chato maana itakuwa safari ya sekunde,

nini mantiki ya kuacha kuuboresha uwanja huu uliojengwa mpakani mwa chato na biharamulo na kwenda kujenga uwanja mwingine tena karibu na wa zamani?

ile barabara ya biharamulo bwanga ulichepusha,hata uwanja wa ndege pia?

kuweka viwanja viwili vya ndege kwa umbali wa kilometa 20 kutoka kiwanja kimoja,kwa nchi masikini kama Tanzania ina tija ?

kwa wale, wabishi,unaweza ku google,ingia google andika biharamulo airstrip,utamwagiwa mzigo mzima kuhusu uwanja huu,hata google wanaujua !
 
JPM tunahitaji Daktari wakuanza kutibu wenye dalili za kuelekea milembe.. bora uwafunze kuimba ngonjera tu maana hii nchi upinzani wakiimba ngonjera zisizo na mpangilio ndio tutawatambua... hata mfano 2021, 2026 n.k watakuja kuwapa burudani Ikulu.

Daktari awatumie dawa kwa drones pahala walipo ukianzia na huyu.. eeeeh
 
Subiri tujenge na bandari hapo Chato, maendeleo kwanza siasa (za porojona kulalamika kila siku) baadae!
[HASHTAG]#akimalizakumitumuongezeemitano[/HASHTAG]
 
JPM tunahitaji Daktari wakuanza kutibu wenye dalili za kuelekea milembe.. bora uwafunze kuimba ngonjera tu maana hii nchi upinzani wakiimba ngonjera zisizo na mpangilio ndio tutawatambua... hata mfano 2021, 2026 n.k watakuja kuwapa burudani Ikulu.

Daktari awatumie dawa kwa drones pahala walipo ukianzia na huyu.. eeeeh
No drone capability
 
Nyie watu wa Bihalamulo si ndio mlikuwa mnamnyima ubunge mukuru nasikia aligombea ubunge mara mbili 1985 na 1990 bila mafanikio mlimkataa wazi wazi, jimbo lilipogawanywa mwaka 1995 ndio naye akaibuka. Kwa kuwa mukuru ni mtu wa chuki na visasi hakuna namna vumilieni tu na msipoangalia hata hicho kidogo mlichonacho atawanyang'anya
 
Hiyo wilaya yenyewe ya Biharamulo ni janga la nchi, labda walete huo uwanja wa ndege.
Wilaya haiendelei miaka nenda rudi, sijui nani aliwaloga watu wa Biharamulo? Mji mkongwe kweli lakini maendeleo inashindwa na sehemu moja ya Buselesele.
Raisi aifikirie kwa kweli.
Mtoa mada big up sana
 
kuna taarifa kwamba siku inaanzishwa nairobi,ndio siku inaanzishwa biharamulo,sio kosa lao, ni kosa la. serikali
 
Unajua mkuu
Walimbua nchi ni wananchi wenyewe.
Pale Biharamulo hata kama serikali ilipasahau, hata watu wenyewe mwanzo hawakuwa na mawazo ya maendeleo.
Fitna sana, vituko, ushirikina kibao sana.
Sasa hivi ndiyo wameshtuka, hata hivi ni baada ya wageni kuanza kujenga kule kwa kasi. Na wenyeji ndiyo sasa wameanza kutoka gizani.

Yaani ukiangalia Buselesele, Geita kulivyochangamka, huwezi tamani kwenda kuishi Biharamulo.
Watu wa B'mulo wanajua kulivyodorora.
Mnisamehe watu wa huko jamani.
 
Wameshakwambia huu wa Chato utatumika kubeba madini maana ni hatari kubwa kuyasafirisha mpaka Geita, eti ni mbali mno. Chato wamegundua madini gani?
 
aisee,kwa hiyo nchi hii haina long term plan ya ujenzi wa viwanja vya ndege,biharamulo ingetosha kabisa
 
Mchepushaji mzoefu! Nyumba za serikali pia alichepusha ndugu zake wapate. 'msema ukweli mpenzi wa mungu', ndio maana anataka watu waishi kama mashetani.
 
kwa mara ya kwanza tunashuhudia wilaya mbili zinazopakana kila moja ikiwa nana uwanja wa ndege

wilaya ya kwanza kuwa na uwanja wa ndege mdogo (airstrip) ni Biharamulo

ni uwanja mzuri tu kama ukikarabatiwa,na umbali kutoka uwanja huu kwenda uwanja wa chato,haizidi kilometa 20! kiasi kwamba haitaleta mantiki kupanda ndege kutoka biharamulo mpaka chato maana itakuwa safari ya sekunde,

nini mantiki ya kuacha kuuboresha uwanja huu uliojengwa mpakani mwa chato na biharamulo na kwenda kujenga uwanja mwingine tena karibu na wa zamani?

ile barabara ya biharamulo bwanga ulichepusha,hata uwanja wa ndege pia?

kuweka viwanja viwili vya ndege kwa umbali wa kilometa 20 kutoka kiwanja kimoja,kwa nchi masikini kama Tanzania ina tija ?

kwa wale, wabishi,unaweza ku google,ingia google andika biharamulo airstrip,utamwagiwa mzigo mzima kuhusu uwanja huu,hata google wanaujua !

Kwa nini Babako asiuboreshe?
 
Uwanja unajengwa CHATO.....Full stop! Mkiendelea na hizo ngonjera tutajenga na uwanja wa mpira wa Kimataifa utakaofanana au kuwa na kiwango cha Dunia/Olimpiki.Endeleeni na Uchochezi sasa muone!
 
Back
Top Bottom