Rais wetu

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
Jamani wana Wanajf naombeni mnisaidie! Hivini kweli JK kaongeza Mke kutoka Kilimanjaro. Uvumi huu umeenea katika baadhi ya maeneo hapa nchini na unakwenda mbali hata kueleza kuwa aliyeolewa ni mtoto wa mwana mama Waziri wa Fedha wa Zamani na Harusi ilifanyikia Moshi Mwanzoni mwa mwaka huu. Hivi ni kweli au mzee wa Jua Kali anazushiwa!
 
I think that is his personal life. We does not care on that particular issue. We cares about our children healhcare, our children education, we cares about justice for everyone, we cares about mafisadi.

So, he can do anything he wants concern womens, however he can't do anything he wants concern our nation, our civil rights and our economy. We as the people will stop him from cripple us.
 
Kwani kuna kosa gani Rais kuoa mke mwingine?Mbona Mfalme mswati kila mwaka anajikusanyia vigoli?Tena vinajipanga mstari anajitwalia kinachompendeza.

Cha kuhoji ni vipi anaendesha Taifa hili kulingana na misingi ya katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,Je anafuata misingi ya utawala bora?Je kuna demokrasia wakati wa chaguzi zetu zinazoendelea kama Kiteto Arusha au Wameingiza mamuluki?

Haya ya kuoa hayatusidii lolote kama Wananchi maskini wa TZ

Pia ktk dini yake anaruhusiwa kuoa wake wengi.This has nothing to do with his presidencial position rather than speculating personal life.
 
Hakuna nayepinga kwamba haya ni maisha yake lakini as a president of this country vitu kama hivi havitakiwa kuwa siri. kuwa mke wa raisi kuna uzito fulani, tutajuaje kama na huyu mwanamama ataamua kuanzisha NGO yake ili kujikusanyia fedha?????

And if what the president is doing is right kusingekuwa na haja ya kukaa kimya mbona watu mashuui wengine wakifunga ndoa wanatangaza hata huyo mswati hafanyi kwa siri.

Atahangaikiaje maendeleo ya nchi hii if he has a string of women who need his attention, kama kweli anaishi nao kama wake zake. Halafu ukifikiria kwa undani zaidi undugunization unakuwepo ili mtoto wa shangazi yake shangazi naye apate favours fulani fulani just because the cousin is a wife to the president. Correct me if am wrong people
 
POWER TO THE PEOPLE!
Ninavyojua Rais anaongoza nchi kwa mujibu wa katiba yetu,pia kufuata kanuni,taratibu na sheria zilizowekwa kwa mujibu wa katiba hiyo.Na hicho ndicho kitakachomhukumu huko mbeleni.

Ukiona amefanya mambo ya kuoa sirini basi hayo ni kwa manufaa yake wala si kwa manufaa ya Taifa letu.Na pia kama binadamu anaogopa kuanikwa udhaifu wake.Huwezi jua labda hilo eneo hajiwezi kabisa.Na kama akitangaza basi itamuanika mara dufu.

Otherwise,siyo kwamba natetea au namuunga mkono Rais aoe kila mwaka kama jamaa wa LESOTHO.ila kuna issue ambazo hazitugusi moja moja kama hizo.
 
Huu ni uzushi na uvumi wa mjini, we have more improtant things to discuss. Na ninakubaliana na wenzangu it is his private life. kama tunapenda kufuatilia iti s due to our inner need to dig in people's private life. Lakini si zaidi ya hapo. kama huyo mke angekuwa anatukamua kama Imelda Marcos wa Filipino hapo utatuona tunamfuatilia, otherwise none of our business!
 
POWER TO THE PEOPLE!
Ninavyojua Rais anaongoza nchi kwa mujibu wa katiba yetu,pia kufuata kanuni,taratibu na sheria zilizowekwa kwa mujibu wa katiba hiyo.Na hicho ndicho kitakachomhukumu huko mbeleni.

Ukiona amefanya mambo ya kuoa sirini basi hayo ni kwa manufaa yake wala si kwa manufaa ya Taifa letu.Na pia kama binadamu anaogopa kuanikwa udhaifu wake.Huwezi jua labda hilo eneo hajiwezi kabisa.Na kama akitangaza basi itamuanika mara dufu.

Otherwise,siyo kwamba natetea au namuunga mkono Rais aoe kila mwaka kama jamaa wa LESOTHO.ila kuna issue ambazo hazitugusi moja moja kama hizo.

Jamaa wa Lesotho ana mke mmoja.
 
Mimi kilichonimaliza katika hii thread ni hicho kiingereza, kumbe kiingereza ni kigumu kiasi hiki hee, sasa mbona jana watu walikuwa wanamcheka JK kwa kuchapia ka-grammar kadogo tu?
 
Kitila duh!!!
JK kuoa si shida maana anatakiwa kuwa nao 4 kwa mujibu wa kitabu chao.Sasa tummulike tu asije naye akaanza kuvinjali na mali etu lakini kama anaoa tu mwache abebane nao atajua siku akifa atakavyo waacha wanaumana na watoto .
 
Hii naona ingeenda kwenye vijimambo vya wakubwa maana hata kama ni ukweli bado ni mambo binafsi na anaruhusiwa kwa sheria za TZ.

Sio rahisi sana kwa rais akaoa na isijulikane haraka.
 
Mimi kilichonimaliza katika hii thread ni hicho kiingereza, kumbe kiingereza ni kigumu kiasi hiki hee, sasa mbona jana watu walikuwa wanamcheka JK kwa kuchapia ka-grammar kadogo tu?

KM, Mh, hata mimi nimejaribu kuvumilia nimeshindwa...!Pundit alisema hiyo si shida sana kwa level ya mtu asiye kiongozi...
 
Mimi kilichonimaliza katika hii thread ni hicho kiingereza, kumbe kiingereza ni kigumu kiasi hiki hee, sasa mbona jana watu walikuwa wanamcheka JK kwa kuchapia ka-grammar kadogo tu?

KM, Mh, hata mimi nimejaribu kuvumilia nimeshindwa...!Au kimekosewa makusudi? Pundit alisema hiyo si shida sana kwa level ya mtu asiye kiongozi...
 
Kitila,

Siyo nia yangu kutoka kwenye maada, if you ask me I think Kikwete has (or should have anyway) more sense than to marry someone young enough to be his daughter.If he is this much beyond basic decency then the colloquism and entertainment of basic lust is beyond my imagination.Kuna maswala mengine ni common sense tu, hamna haja ya katiba.

Kwenye kiingereza

Rais wa nchi na mchangiaji wa JF ni tofauti kubwa, wouldn't you say?

Sote tunahitaji kujiendeleza kwenye hilo.Tatizo ni kwamba baadhi yetu, badala ya kukazania kuongeza viwango vyetu wote hususan kutaka kiwango cha mtu kama rais kiwe cha juu, tunashusha viwango vinavyokubalika kwa rais wetu eti kwa sababu "sisi ni Watanzania".Kama Watanzania kweli rais aongee Kiswahili basi.

Badala ya kupondea tu Kiingereza kibovu, basi tuonyeshe makosa yamefanywa wapi kama mimi nilivyofanya kwa sentensi za rais, wengi wetu bado tunajifunza kiingereza na wengine ndiyo maana tunatumia kiingereza sana humu.Sasa ni bora nisahihishwe na kaka na dada zangu humu kwamba hatusemi "we does not care" tunasema "we do not care" hatusemi "we cares about" tunasema "we care about" et cetera et cetera.This way tunasaidiana na siyo kukejeli tu watu.

Ningefurahi kuona mtu ananisahihisha hapa ili nisije kufanya makosa kwenye hadhira mahsusi.I think that is the entire idea behind constructive criticism.

Bado nampongeza muungwana aliyejieleza kwa lugha anayojifunza.Pengine bila kutumia nafasi kama hizi kujieleza kwa kiingereza uwezo wake ungekuwa mdogo zaidi ya ulivyojitokeza hapa.

Now if that was Kikwete's remarks welcoming George Bush I would rant and scream murder as usal, justifiably so.
 
I think that is his personal life. We does not care on that particular issue. We cares about our children healhcare, our children education, we cares about justice for everyone, we cares about mafisadi.

So, he can do anything he wants concern womens, however he can't do anything he wants concern our nation, our civil rights and our economy. We as the people will stop him from cripple us.

LoL.Simple Present "T"
 
Jamani wana Wanajf naombeni mnisaidie! Hivini kweli JK kaongeza Mke kutoka Kilimanjaro. Uvumi huu umeenea katika baadhi ya maeneo hapa nchini na unakwenda mbali hata kueleza kuwa aliyeolewa ni mtoto wa mwana mama Waziri wa Fedha wa Zamani na Harusi ilifanyikia Moshi Mwanzoni mwa mwaka huu. Hivi ni kweli au mzee wa Jua Kali anazushiwa!

Asalaam Aleikhum Muungwana.
Kabla sijaendelea na mada hii Ndugu Mgoyangi; wewe ni mwanamke au
mwanaume?
Maana tusije kuingilia mada wakati mtu yuko katika kulia wivu.
 
I think that is his personal life. We does not care on that particular issue. We cares about our children healhcare, our children education, we cares about justice for everyone, we cares about mafisadi.

So, he can do anything he wants concern womens, however he can't do anything he wants concern our nation, our civil rights and our economy. We as the people will stop him from cripple us.

"Message Sent" Mkuu Mtanganyika una tatizo dogo katika Kiingereza chako ingawa message unayotoa ni nzuri sana
Unatatizo la namna ya kuunda sentensi kwa kutumia Simple Present Tense Katika Third Person Singular ambapo Pronouns husika ni "It" "She" na "He" Pronouns hizi unapozitumia verbs zake hubeba herufi "s" "ies" ama "es" mwishoni kutegemeana na aina ya verb yenyewe mfano verb "Do" huwa "He does verb cry huwa He cries, verb "teach" huwa He teaches n.k.

JF imenifundisha mambo mengi sana nitajitahidi nami kuelimisha wenzangu kwa yale ninayoyafahamu kama wenzangu hao walivyonielimisha yale nisiyoyafahamu. Tuzidi kujengana badala ya kubomoana.
 
Kitila duh!!!
JK kuoa si shida maana anatakiwa kuwa nao 4 kwa mujibu wa kitabu chao.Sasa tummulike tu asije naye akaanza kuvinjali na mali etu lakini kama anaoa tu mwache abebane nao atajua siku akifa atakavyo waacha wanaumana na watoto .

Kwanza nataka kukuuliza kuhusu kitabu kisicho chao "unatakiwa" uoe wangapi? Kuhusu kuoa Qur'an inasema hivi:

Q.4:3. Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana. ***

Napenda uelewe kuwa hakuna kitabu kingine chochote kilicho mention mention "mmoja tu" ila ni Qur'an peke yake, kama unabisha kwa hilo lete maandiko yako. Kama huna jibu usikurupuke kwa kutaja vitabu vya watu wakati huvijui vimeandikwa vipi, uliza kwanza upate faida.

Sasa sisi tumekufahamisha kuhusu kitabu cha walimwengu wote Qur'an. Napenda ufahamu kuwa Qur'an ni kwa watu wote haikuja kwa ajili ya watu fulani tu, kama na hilo utabisha tutakupa maandiko. Kwa hiyo uwache kusema "kitabu chao" useme Qur'an imesema hivi.

Jee hicho kitabu kisicho chao kinasemaje?

"akifa" au akiwa hai hana uwezo wa kutoa rizki kwa mama wala kwa mtoto, si yeye wala si mimi wala si wewe wala si binadam mwingine yeyote agawae rizki. Rizki hutolewa na mmoja tu. nadhani mpaka hapo umeshamjuwa.

Haya fafanua kitabu chunu kinasemaje?
 
Kitila,

Siyo nia yangu kutoka kwenye maada, if you ask me I think Kikwete has (or should have anyway) more sense than to marry someone young enough to be his daughter.If he is this much beyond basic decency then the colloquism and entertainment of basic lust is beyond my imagination.Kuna maswala mengine ni common sense tu, hamna haja ya katiba.

Kwenye kiingereza

Rais wa nchi na mchangiaji wa JF ni tofauti kubwa, wouldn't you say?

Sote tunahitaji kujiendeleza kwenye hilo.Tatizo ni kwamba baadhi yetu, badala ya kukazania kuongeza viwango vyetu wote hususan kutaka kiwango cha mtu kama rais kiwe cha juu, tunashusha viwango vinavyokubalika kwa rais wetu eti kwa sababu "sisi ni Watanzania".Kama Watanzania kweli rais aongee Kiswahili basi.

Badala ya kupondea tu Kiingereza kibovu, basi tuonyeshe makosa yamefanywa wapi kama mimi nilivyofanya kwa sentensi za rais, wengi wetu bado tunajifunza kiingereza na wengine ndiyo maana tunatumia kiingereza sana humu.Sasa ni bora nisahihishwe na kaka na dada zangu humu kwamba hatusemi "we does not care" tunasema "we do not care" hatusemi "we cares about" tunasema "we care about" et cetera et cetera.This way tunasaidiana na siyo kukejeli tu watu.

Ningefurahi kuona mtu ananisahihisha hapa ili nisije kufanya makosa kwenye hadhira mahsusi.I think that is the entire idea behind constructive criticism.

Bado nampongeza muungwana aliyejieleza kwa lugha anayojifunza.Pengine bila kutumia nafasi kama hizi kujieleza kwa kiingereza uwezo wake ungekuwa mdogo zaidi ya ulivyojitokeza hapa.

Now if that was Kikwete's remarks welcoming George Bush I would rant and scream murder as usal, justifiably so.

Kwanza nataka utufahamishe ni kigezo gani ulichotumia au kilichokufikisha kuwa na uhakika wa kuwa "sense" za mtu zinajulikana na kuoa kwake kama ulivyomaanisha hapo juu.

Pili tufahamishe ni kigezo gani kilichokufikisha kusema kuwa "decency" ya mtu inapimwa kwa umri kuoa kwake?

Na mwanamke au mwanamme afikiae kuoa kuolewa unatumia kigezo kipi kuwa ndio ana "sense" na "decency"?
 
Back
Top Bottom