Mgoyangi
Senior Member
- Feb 6, 2008
- 184
- 9
Jamani wana Wanajf naombeni mnisaidie! Hivini kweli JK kaongeza Mke kutoka Kilimanjaro. Uvumi huu umeenea katika baadhi ya maeneo hapa nchini na unakwenda mbali hata kueleza kuwa aliyeolewa ni mtoto wa mwana mama Waziri wa Fedha wa Zamani na Harusi ilifanyikia Moshi Mwanzoni mwa mwaka huu. Hivi ni kweli au mzee wa Jua Kali anazushiwa!