Rais wetu wa moyoni Dr slaa ahojiwa kwa saa mbili kahama

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Zaidi ya polisi mia leo walimshikilia kwa muda rais wetu wa moyoni Dr Slaa katika kituo cha polisi kahama.Polisi wanadai eti Rais wetu slaa alifanya mkutano bila kibali,baada ya kutoa maelezo aliachiwa na sasa yupo njian kueleke Kagera...

my take...Polisi hawana mamlaka kisheria kutoa kibali cha mkutano,sijui ni kwa muda gani polisi wetu wataendelea kufanya kazi ya ccm,wajifunze alama za nyakati Gadafi pamoja na silahazote nguvu ya umma inamgoa sembuse hawa polisi wa tz ambao wamepigika kama sisi?NENO LA BUSARA WE ARE NOT FIGHTING FOR OURSELVES,OR FOR POWER,OR MONEY,,,WE ARE HERE FOR THE CAUSE OF FREEDOM,WELFARE OF OUR PEOPLE AND OUR CHILDREN,WE ARE WILLING TO PAY ANY PRICE INCLUDING OUR OWN BLOOD.IT IS VICTOR OR DEATH.....
 
ZAIDI YA POLISI MIA WANAMKAMATA MTU MMOJA!...ambaye wala hana usumbufu, wala silaha!...Wezi kibao wanasumbua mitaani, lakini kuna polisi 100 wa kumdhibiti Dr Slaa!..Akili , Matope?...PAMBAAAAF
 
well
,,,WE ARE HERE FOR THE CAUSE OF FREEDOM,WELFARE OF OUR PEOPLE AND OUR CHILDREN
 
ZAIDI YA POLISI MIA WANAMKAMATA MTU MMOJA!...ambaye wala hana usumbufu, wala silaha!...Wezi kibao wanasumbua mitaani, lakini kuna polisi 100 wa kumdhibiti Dr Slaa!..Akili , Matope?...PAMBAAAAF

hawana kazi kabisa hao polisi
 
Hawa polisi wamekosa kazi naona, sijui wamelishwa nini, maana wanadhani CDM inatetemea maslah ya wachache kama ccm, wakati mapinduzi yakifika hata wao watafaidika
 
Baba tatizo kubwa ni shule yaani ukiwa hauna shule unakua mtu wa ndiyo mzee kwa kila jambo kweli kisomo ni muhimu sana hawa jamaa wana maisha magumu slaa anawatetea then wao wanamkamata kwa kutumwa na wakubwa zao
Zaidi ya polisi mia leo walimshikilia kwa muda rais wetu wa moyoni Dr Slaa katika kituo cha polisi kahama.Polisi wanadai eti Rais wetu slaa alifanya mkutano bila kibali,baada ya kutoa maelezo aliachiwa na sasa yupo njian kueleke Kagera...

my take...Polisi hawana mamlaka kisheria kutoa kibali cha mkutano,sijui ni kwa muda gani polisi wetu wataendelea kufanya kazi ya ccm,wajifunze alama za nyakati Gadafi pamoja na silahazote nguvu ya umma inamgoa sembuse hawa polisi wa tz ambao wamepigika kama sisi?NENO LA BUSARA WE ARE NOT FIGHTING FOR OURSELVES,OR FOR POWER,OR MONEY,,,WE ARE HERE FOR THE CAUSE OF FREEDOM,WELFARE OF OUR PEOPLE AND OUR CHILDREN,WE ARE WILLING TO PAY ANY PRICE INCLUDING OUR OWN BLOOD.IT IS VICTOR OR DEATH.....
 
ZAIDI YA POLISI MIA WANAMKAMATA MTU MMOJA!...ambaye wala hana usumbufu, wala silaha!...Wezi kibao wanasumbua mitaani, lakini kuna polisi 100 wa kumdhibiti Dr Slaa!..Akili , Matope?...PAMBAAAAF

Si wanaogopa guvu ya Umma...................... PIPOS POWER!!!
 
Hawa polisi wamekosa kazi naona, sijui wamelishwa nini, maana wanadhani CDM inatetemea maslah ya wachache kama ccm, wakati mapinduzi yakifika hata wao watafaidika
Pengine wamelipwa pesa zilizotakiwa walipwe wafanyakazi wa Muhimbili..Njaa tu, kawaida zetu maskini ni njaa tu, baada ya hizo pesa za kukidhi leo kuwa mkononi basi unasahau kesho itakuwaje na kumbe utasubiri miaaka kibao uko hapo hapo.
 
Wakubwa!! A dying horse kicks hard!!!!.... mfa maji haishi kutapatapa!!!....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom