Rais wetu Samia acha hotuba za kujitetea juu ya jinsia yako, wewe ni Rais siyo Rais mwanamke

Au yule Makel (kama sijakosea) wa Ujerumani
Yule acha kabisa, mkimya maneno machache....nsimamo MKALI!

Kuna msemo flani huko kanda ya ziwa kuwa .."@$$# huwa zinapatikana karanga tu na sio wanawake wa kuoa" nami namalizia kuwa Pwani zote kuanzia Miami, Acapuco, Mombasa, nk, wanatoka viongozi na sio Uongozi!
 
Back
Top Bottom