Rais wetu mzalendo wewe ni mtukufu siku zote tutakuenzi

kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
704
813
Poleni na majukum ya kitaifa watanzania kwa masikitiko makubwa wiki hii imekuwa ni wiki mbaya sana hili lipo wazi baada ya taarifa ya CAG kuwa tabled bungeni na Assad kuelezea mambo jinsi yalivo.

Baada ya yote nikawa najiuliza hivi sisi watanzania ni kizazi cha namna gani kila mtanzania ni mwizi yani wizi kwa watanzania upo ndani ya damu zetu mpk nahisi wtz tunazaliwa labda na vina saba vya wizi kila mtanzania anawaza mipigo tu kama inawezekana mwenyezi mungu angekifutilia mbali hiki kizazi chetu labda.

Upande wa pili chadema ndyo wababaishaji wakubwa hawa tumeona wote watanzania ufisadi uliopo ndani ya chama chao yani chama cha upinzani halafu kinakuwa na madudu hopeless kabisa halafu eti wanakuja na vitaarifa kwamba wanaandaa press kwa ajiri yakuja kuelezea ufisadi wao wanataka wajisafishe hilo halipo chadema report ya CAG wote tumeisikia mnataka mje na maneno yenu haisaidii hii hyo Assad nyinyi ndyo mnamsifu sana leo hii ujinga uliopo ndani ya chama chenu cha mafisadi umegundulika mnataka kubadiri mambo Assad hakurupuki hili doa kubwa kwenu kama mnavojidai ni wapinzani.

Nchi hi mzalendo ni rais wetu tu na hii vita ya ufisadi anapigana peke yake japo anatumbua watu kila siku lkn wtz kama wanalaana tutamlilia siku moja magufuri huyu ndyo mzalendo na rais mtukufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepotea njia dada hili si jukwaa la siasa na mipasho huku ni stress free zone sio mistress yako ya vicoba na upatu unatuletea huku nenda kule wanamipasho wenzio watakuelewa huku hueleweki kwa sababu watu wa aina yako hawahitajiki huku.Huku kunataka akili timamu sio wenye ulemavu wa ubongo na mtindio wa akili utapauka huku.Huu ni uwanja wa majitu yenye ubongo wenye vyumba vya kutosha wanaojielewa ili kuwaelewesha wengine.Usirudia tena kuingiza kibatari chako kwenye chumba cha solarpower 500ws

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom