Rais wetu Mpendwa Punguza Majimbo

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Kama nilivyoshauri miezi michache nyuma.

Nashauri majimbo yapunguzwe maana ni mengi mmo ambao jumla ni Wabunge 394.

Na wakati tuna Halmashauri takribani 186 bara na wilaya 11 Unguja na Pemba.

Hivyo Bara majimbo 186
Zanzibar 11 na viti maalamu angalau 64 jumla tutakuwa na wabunge 211 hivi.

Hili suala kwa sasa linaweza kufanywa na NEC kama Serikali itaridhia.

Haihitaji uamuzi wa Bunge.

Ushauri Tu jamani.
 
Hayo yote yapo kwenye ile Rasimu ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Warioba. Ishu ipo sehemu moja tu! Nani wa kumfunga paka kengele?
 
Kama nilivyoshauri miezi michache nyuma.

Nashauri majimbo yapunguzwe maana ni mengi mmo ambao jumla ni Wabunge 394.

Na wakati tuna Halmashauri takribani 186 bara na wilaya 11 Unguja na Pemba.
Hivyo
Bara majimbo 186
Zanzibar 11 na viti maalamu angalau 64 jumla tutakuwa na wabunge 211 hivi.

Hili suala kwa sasa linaweza kufanywa na NEC kama Serikali itaridhia.

Haihitaji uamuzi wa Bunge.

Ushauri Tu jamani.
Hayo hayawezekani ndani ya ccm kwani wanafaidika nayo, tusubiri wapinzani wafanye hayo.
 
Inawezekana kabisa. Kwa sababu Rais anapenda kubana matumizi kuliko viongozi wengi.
 
Back
Top Bottom