Rais wetu Magufuli,usitupandishie mishahara bali tushushie bei za basic human needs

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,042
23,487
Petrol na Diesel viwe stabilized,nafaka nazo ziwe stabilized,building material zishuke kama dangote atakavyo!

Tutaendalea kupaisha mishahara isiokidhi haja mpaka lini? Tusaidie mtu wa kima cha chini cha mshahara atlest aweze kuishi bila mawazo makali.

Wakati wa mkapa home bajeti zilikuwa 3500-7500 ila kwa wakati huu ni 10000-20000 kwa normal family.

Hapo kitambo mashirika kama "NMC" yalisaidia sana kukontrol food prices.

*mlengwa mkuu ni mnyonge wa kima cha chini.
 
  • Thanks
Reactions: cpt
...Nashangaa sana kuona nauli hasa za madaladala mpaka Leo hii pamoja na diesel kushuka bei lakini HAKUNA ANAYELIONA HILI.
NILITARAJI TAMKO KUTOKA MKUU WETU MPYA LAKINI WAPI!
-mnyonge apunguziwe shida na gharama za maisha.
 
Mtoa maada umeongea kweli tupu, kama bidhaa mbalimbali zitashuka hasa za vyakula na ujenzi, watu wengi tutaweza angalau kula japo msosi wa maana na hats malazi tunaweza kupanga angalau vyumba vya bei nafuu
 
Back
Top Bottom