Rais wetu Magufuli, tusaidie dhuluma tunayofanyiwa na ubalozi wa US & UK katika maombi ya VISA

Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Magufuli,

Watanzania tulio wengi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Hadi sasa umeweza kutatua matatizo mengi sugu kwa wananchi wako.

Moja kati ya tatizo linalonikera mimi pamoja na watanzania wengine ni jinsi ambavyo Ubalozi wa USA na UK wanavyotufanya katika maombi ya VISA. Yani unalipishwa kiasi kikubwa cha pesa katika maombi ya VISA, halafu ukikosea kujaza forms, au baadhi ya vielelezo vikipungua, basi unanyimwa VISA na pesa hairudi. Ukitaka ku-apply tena wanakwambia lipia upya. Kwanini hawa watu wasijifunze kwa Ubalozi wa Korea Kusini? Ubalozi wa Korea Kusini hawachukui pesa yako hadi wahakikishe una vigezo vyote vya kupewa VISA. Yani ukisha lipia tu ujue umepata VISA.

Kinachoniuma zaidi ni usumbufu wa kupewa VISA wakati wao wanapokuja kwetu wanachukulia VISA zetu airport.

Mheshimiwa Rais, naomba Serikali yako iliangazie swala hili.

Dhuluma katika upatikanaji wa VISA za USA & UK ni jipu la kutumbuliwa sasa.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
Hivi bado mnaenda UK & US?
 
Watanzania kwa uvivu na dezo.
Ni nini kinakushinda kujaza hiyo fomu vizuri.
Hizo taratibu zimewekwa hivyo kupunguza tatizo lililokuwepo. Wakiondoa hizo taratibu wataishia kujaza fomu wenyewe.
Halafu unakuta unaomba visa ya kwenda kusoma masters halafu fomu inakushinda kujaza!!
 
Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Magufuli,

Watanzania tulio wengi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Hadi sasa umeweza kutatua matatizo mengi sugu kwa wananchi wako.

Moja kati ya tatizo linalonikera mimi pamoja na watanzania wengine ni jinsi ambavyo Ubalozi wa USA na UK wanavyotufanya katika maombi ya VISA. Yani unalipishwa kiasi kikubwa cha pesa katika maombi ya VISA, halafu ukikosea kujaza forms, au baadhi ya vielelezo vikipungua, basi unanyimwa VISA na pesa hairudi. Ukitaka ku-apply tena wanakwambia lipia upya. Kwanini hawa watu wasijifunze kwa Ubalozi wa Korea Kusini? Ubalozi wa Korea Kusini hawachukui pesa yako hadi wahakikishe una vigezo vyote vya kupewa VISA. Yani ukisha lipia tu ujue umepata VISA.

Kinachoniuma zaidi ni usumbufu wa kupewa VISA wakati wao wanapokuja kwetu wanachukulia VISA zetu airport.

Mheshimiwa Rais, naomba Serikali yako iliangazie swala hili.

Dhuluma katika upatikanaji wa VISA za USA & UK ni jipu la kutumbuliwa sasa.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
Inaelekea you have banked a lot In JPM! Kweli watanzania mburula! USA, UK , awaingilie kuwa msifanye hivi! Umepotea!
 
Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Magufuli,

Watanzania tulio wengi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Hadi sasa umeweza kutatua matatizo mengi sugu kwa wananchi wako.

Moja kati ya tatizo linalonikera mimi pamoja na watanzania wengine ni jinsi ambavyo Ubalozi wa USA na UK wanavyotufanya katika maombi ya VISA. Yani unalipishwa kiasi kikubwa cha pesa katika maombi ya VISA, halafu ukikosea kujaza forms, au baadhi ya vielelezo vikipungua, basi unanyimwa VISA na pesa hairudi. Ukitaka ku-apply tena wanakwambia lipia upya. Kwanini hawa watu wasijifunze kwa Ubalozi wa Korea Kusini? Ubalozi wa Korea Kusini hawachukui pesa yako hadi wahakikishe una vigezo vyote vya kupewa VISA. Yani ukisha lipia tu ujue umepata VISA.

Kinachoniuma zaidi ni usumbufu wa kupewa VISA wakati wao wanapokuja kwetu wanachukulia VISA zetu airport.

Mheshimiwa Rais, naomba Serikali yako iliangazie swala hili.

Dhuluma katika upatikanaji wa VISA za USA & UK ni jipu la kutumbuliwa sasa.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
kaka hili suala kwa kweli huwa linaniukiza kichwa sana lakini yote hayo ni umaskini tulionao, waliwafanyia wahindi hivyo india, wahindi nao wakaweka masharti magumu sana ikabidi waombe poo, sasa hivi mhindi anaingia tu UK

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Hahahhahahah Vijana wa CCM bwana sasa anaenda kutumbua kazi na sheria za nchi nyingine??Kama amezoea kuvunja katiba na sheria za nchi yake basi mnadhani kila mahali atafanya atakavyo??Labda mumwambie awafukuze kutoka Tze
hivi huu uzwazwa tutaacha lini? mtu kaweka uzi wa maana nyie hao siasa, daah kila kitu ni siasa siasa siasa, kweli elimu elimu elimu elimu ni muhimu saba

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
miaka ya nyuma nilisikia UK ulikuwa unaenda na show money tu, hakuna kuomba visa, sijui mkubwa gani baada ya kuona watz wanakuwa wengi kaenda kupiga domo tuwekewe visa

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Ubalozi ni nchi nyingine.

Huyo Magufuli wako hana uwezo wa kuingilia mambo na taratibu za nchi nyingine.
Ndugu yangu, umesahau kwamba Rais ndie MSEMAJI MKUU wa nchi? Yeye akilizungumzia linapata attention ya tofauti.

Kama umeshawahi kupata Visa ya South Korea nadhani unaelewa kwamba wao hawachukui pesa yako hadi ukamilishe requirements zote. Huo ni utaratibu mzuri sana. Jingine ni kwamba wenzetu wa USA & UK wanapata Visa zetu kirahisi sana. Sisi hata uwe na mashamba, nyumba, magari, familia, bado wanakwambia maneno ya KEJELI, tumekunyima kwa sababu inaonekana HUTARUDI KWENU!! Seriously????
 
Au India ambapo tourist visa online mara moja tu dugu!
Nimesoma na kuishi Korea miaka ya kutosha; USA, UK tunaenda kwa shughuli nyingine. Swala hapa ni unyanyasaji wao na MANENO YA KEJELI wanayotumia.... Yani unawapelekea documents kibao, hati za nyumba, magari, account bado wanakupiga mkwara kwamba hutarudi nyumbani. This isn't right!
 
Kaa nyumbani tujenge nchi yetu unataka kwenda Marekani kufanya nn? cku hizi Dunia ni kijiji kila kitu kinaonekana hata kama uko maeneo ya Ibisabageni.
 
Kwenye hili nawapongeza ubalozi wa South Korea. Hakuna siku nimeomba Visa nikanyimwa. Wameweka wasaidizi wazuri ambao anahakikisha ume submit docs zote kwa usahihi, then unalipia. US & UK ni lazima wajirekebishe kwenye hili.

Ki ukweli wengi wamekua wahanga.

Niliwahi lipia visa mara mbili just because nimetumia bank statement ya kampuni ya familia and not my personal a/c. Kitu ambacho ningesaidiwa tu pale kwa kuambiwa nitumie my personal bank account. Sumtyms unaweza ukawa uko sawa ila kuna vitu vinaleta further questions i.e. Shareholders, Memorandum et al. Hela zikakatika hivi hivi and i had to re-apply and pay for fast track.

Now its True...ndio hata kama mimi nilijichanganya mwenyewe kuna haja ya kuwepo na more advanced support system pale. Hela tunazitafuta kwa shida sana jamani.
 
Nimesoma na kuishi Korea miaka ya kutosha; USA, UK tunaenda kwa shughuli nyingine. Swala hapa ni unyanyasaji wao na MANENO YA KEJELI wanayotumia.... Yani unawapelekea documents kibao, hati za nyumba, magari, account bado wanakupiga mkwara kwamba hutarudi nyumbani. This isn't right!
Okay Nimekuelewa.
 
kaka hili suala kwa kweli huwa linaniukiza kichwa sana lakini yote hayo ni umaskini tulionao, waliwafanyia wahindi hivyo india, wahindi nao wakaweka masharti magumu sana ikabidi waombe poo, sasa hivi mhindi anaingia tu UK

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi

Na wako kibao kule na wa pakistan, wanapiga sana kazi ni wana akili kama mchwa. Issue zao nyingi ni coffee shops, chicken shops, restaurants na bodega's (some sort of mini-supermarkets).....kuna mhindi like late 20's alikua anakuja na Maserati ana park jirani nikaja ambiwa mshua wake ana restaurants and chicken shops London huko. Daaah
 
Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Magufuli,

Watanzania tulio wengi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Hadi sasa umeweza kutatua matatizo mengi sugu kwa wananchi wako.

Moja kati ya tatizo linalonikera mimi pamoja na watanzania wengine ni jinsi ambavyo Ubalozi wa USA na UK wanavyotufanya katika maombi ya VISA. Yani unalipishwa kiasi kikubwa cha pesa katika maombi ya VISA, halafu ukikosea kujaza forms, au baadhi ya vielelezo vikipungua, basi unanyimwa VISA na pesa hairudi. Ukitaka ku-apply tena wanakwambia lipia upya. Kwanini hawa watu wasijifunze kwa Ubalozi wa Korea Kusini? Ubalozi wa Korea Kusini hawachukui pesa yako hadi wahakikishe una vigezo vyote vya kupewa VISA. Yani ukisha lipia tu ujue umepata VISA.

Kinachoniuma zaidi ni usumbufu wa kupewa VISA wakati wao wanapokuja kwetu wanachukulia VISA zetu airport.

Mheshimiwa Rais, naomba Serikali yako iliangazie swala hili.

Dhuluma katika upatikanaji wa VISA za USA & UK ni jipu la kutumbuliwa sasa.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania

Wanafanya makusudi sababu visa fees ni chanzo kikubwa cha mapato kwa balozi, at least for the US embassy. Sasa kwa vile Tanzania retards ni wengi (ukiwamo wewe mleta uzi ambaye ni perfect example) basi they politely reject your visa application for a multitude of petty excuses na kusema u-apply tena, kitu ambacho wengi wanafanya hata mara 5.
 
Boss Bonson Labda sura yako ni Kidhibiti tosha. Wenzako ni mradi wewe unaona usumbufu. Pili hiyo ni mbinu ya kuwakatisha tamaa wazamiaji msiofuata sheria na msiojua sheria.

Ili jipu lipo nje ya Uwezo wa Rais. Rais hawezi kuwapangia fees za wao kuweka.

My Take: Mbona maelezo yote na check list zipo Online kwenye Website zao aka yao? Pili Tatizo moja letu Watanzania hatupendi kujisomea.

Back
Top Bottom