Rais wetu Magufuli, tusaidie dhuluma tunayofanyiwa na ubalozi wa US & UK katika maombi ya VISA

Bonson

Senior Member
Apr 20, 2013
183
147
Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Magufuli,

Watanzania tulio wengi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Hadi sasa umeweza kutatua matatizo mengi sugu kwa wananchi wako.

Moja kati ya tatizo linalonikera mimi pamoja na watanzania wengine ni jinsi ambavyo Ubalozi wa USA na UK wanavyotufanya katika maombi ya VISA. Yani unalipishwa kiasi kikubwa cha pesa katika maombi ya VISA, halafu ukikosea kujaza forms, au baadhi ya vielelezo vikipungua, basi unanyimwa VISA na pesa hairudi. Ukitaka ku-apply tena wanakwambia lipia upya. Kwanini hawa watu wasijifunze kwa Ubalozi wa Korea Kusini? Ubalozi wa Korea Kusini hawachukui pesa yako hadi wahakikishe una vigezo vyote vya kupewa VISA. Yani ukisha lipia tu ujue umepata VISA.

Kinachoniuma zaidi ni usumbufu wa kupewa VISA wakati wao wanapokuja kwetu wanachukulia VISA zetu airport.

Mheshimiwa Rais, naomba Serikali yako iliangazie swala hili.

Dhuluma katika upatikanaji wa VISA za USA & UK ni jipu la kutumbuliwa sasa.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
 
Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa JPM,

Watanzania tulio wengi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Hadi sasa umeweza kutatua matatizo mengi sugu kwa wananchi wako.

Moja kati ya tatizo linalonikera mimi pamoja na watanzania wengine ni jinsi ambavyo Ubalozi wa USA na UK wanavyotufanya katika maombi ya visa. Yani unalipishwa kiasi kikubwa cha pesa katika maombi ya Visa, halafu ukikosea kujaza forms, au baadhi ya vielelezo vikipungua, basi unanyimwa visa na pesa hairudi. Ukitaka ku-apply tena wanakwambia lipia upya. Kwanini hawa watu wasijifunze kwa Ubalozi wa Korea Kusini? Ubalozi wa Korea Kusini hawachukui pesa yako hadi wahakikishe una vigezo vyote vya kupewa Visa. Yani ukisha lipia tu ujue umepata Visa.

Kinachoniuma zaidi ni usumbufu wa kupewa Visa wakati wao wanapokuja kwetu wanachukulia Visa zetu airport.

Mheshimiwa Rais, naomba Serikali yako iliangazie swala hili.

Dhuluma katika upatikanaji wa Visa za USA & UK ni jipu la kutumbuliwa sasa.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania

Kwanini ukosee kuweka vitu vinavyotakiwa wakati kuna check list inayotoa muongozo?

Hii tutamlaumu maana hilo ni internal affairs za nchi husika, kumbuka kwa sheria za kimataifa zinazownzisha balozi, eneo la balozi husika ni sehemu ya nchi hiyo. Ndo maana hata askari wetu wanakaa nje hawalindi ndani, tujifunze kusoma vyema mahitaji ya visa ndugu zangu!

Sasa hata check list tu ya visa inatushinda, tutapambana na Kenya et all kwenye soko la ajira EA kweli?
 
Ki ukweli wengi wamekua wahanga.

Niliwahi lipia visa mara mbili just because nimetumia bank statement ya kampuni ya familia and not my personal a/c. Kitu ambacho ningesaidiwa tu pale kwa kuambiwa nitumie my personal bank account. Sumtyms unaweza ukawa uko sawa ila kuna vitu vinaleta further questions i.e. Shareholders, Memorandum et al. Hela zikakatika hivi hivi and i had to re-apply and pay for fast track.

Now its True...ndio hata kama mimi nilijichanganya mwenyewe kuna haja ya kuwepo na more advanced support system pale. Hela tunazitafuta kwa shida sana jamani.
 
Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa JPM,

Watanzania tulio wengi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako. Hadi sasa umeweza kutatua matatizo mengi sugu kwa wananchi wako.

Moja kati ya tatizo linalonikera mimi pamoja na watanzania wengine ni jinsi ambavyo Ubalozi wa USA na UK wanavyotufanya katika maombi ya visa. Yani unalipishwa kiasi kikubwa cha pesa katika maombi ya Visa, halafu ukikosea kujaza forms, au baadhi ya vielelezo vikipungua, basi unanyimwa visa na pesa hairudi. Ukitaka ku-apply tena wanakwambia lipia upya. Kwanini hawa watu wasijifunze kwa Ubalozi wa Korea Kusini? Ubalozi wa Korea Kusini hawachukui pesa yako hadi wahakikishe una vigezo vyote vya kupewa Visa. Yani ukisha lipia tu ujue umepata Visa.

Kinachoniuma zaidi ni usumbufu wa kupewa Visa wakati wao wanapokuja kwetu wanachukulia Visa zetu airport.

Mheshimiwa Rais, naomba Serikali yako iliangazie swala hili.

Dhuluma katika upatikanaji wa Visa za USA & UK ni jipu la kutumbuliwa sasa.

Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania

Hahahhahahah Vijana wa CCM bwana sasa anaenda kutumbua kazi na sheria za nchi nyingine??Kama amezoea kuvunja katiba na sheria za nchi yake basi mnadhani kila mahali atafanya atakavyo??Labda mumwambie awafukuze kutoka Tze
 
Unataka Aingilie Mamlaka Ya Nch Nyngne?Mm Naona Ipelekwe Km Lalamiko Na Waziri Wa Mambo Ya Nje,wakae Na Ubalozi Wa Uk Na Usa Kutatua Hyo Kero.Kwakweli Ubaloz Wa Usa Na Uk Ni Shda
 
Hizo nchi zimeweka conditions ngumu kukuzuia wewe usiingie katika nchi hizo.Isitoshe kuna mkataba wa kimataifa unaitwa Geneva convention kwa hiyo mkiwa na uhusiano wa kibalozi mahusiano hayo yanatawaliwa na mkataba huo ikiwemo kutoingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo.Kwa hiyo ubalozi ni ardhi ya hiyo nchi wewe huruhisiwi kuingili mambo ya ubalozi huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaenda Kufanya Nini Wakat Trump Hatak Wageni? Mtu Amekataza Watu Kwenda Kwake Mnalazimisha Tu Huyo Magufuli Mwenyewe Hana Muda Wa Kwenda Kwa Watu Nyumbani Panamfaa Usa Hata Hizo Kidogo Wanatoa Kwa Aibu Tu Kifup Hawataki.
 
Hizo nchi zimeweka conditions ngumu kukuzuia wewe usiingie katika nchi hizo.Isitoshe kuna mkataba wa kimataifa unaitwa Geneva convention kwa hiyo mkiwa na uhusiano wa kibalozi mahusiano hayo yanatawaliwa na mkataba huo ikiwemo kutoingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo.Kwa hiyo ubalozi ni ardhi ya hiyo nchi wewe huruhisiwi kuingili mambo ya ubalozi huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Geneva Convention ni mdudu gani? Tundulissu aliitaja kwenye makanikia kwamba tutanyimwa Geneva Convention tukiwabana wezi wa madini yetu. Sasa watu wetu wanaonewa ubalozi tunatishiwa Geneva Convention. Kuna ubaya gani na sisi tukipandisha malipo ya visa na kuwataka walipe mwezi mmoja kabla ya safari ili tuzitumie hela zao? Akiwa navharaka alipe hela dabali kwa express visa? Hawa wote wanaokuja Serengeti si tutawabana? Mimi nadhanu Rais atakuwa amesikia ombi letu tusubiri, tuachane na negativity ya chadema
 
Kitu ambacho nina uhakika nacho 100% ni kua watanzania hawawezagi kusoma vitu kwa maandishi na wakaelewa hata alieenda shule pia anafanana na asiekwenda shule....nilikua napost matangazo kwenye social media mtu umepost kitu kinauzwa unakuja kuulizwa hiki chuo kipo wqpi, toa sample zako hahahaha
 
Ki ukweli wengi wamekua wahanga.

Niliwahi lipia visa mara mbili just because nimetumia bank statement ya kampuni ya familia and not my personal a/c. Kitu ambacho ningesaidiwa tu pale kwa kuambiwa nitumie my personal bank account. Sumtyms unaweza ukawa uko sawa ila kuna vitu vinaleta further questions i.e. Shareholders, Memorandum et al. Hela zikakatika hivi hivi and i had to re-apply and pay for fast track.

Now its True...ndio hata kama mimi nilijichanganya mwenyewe kuna haja ya kuwepo na more advanced support system pale. Hela tunazitafuta kwa shida sana jamani.
Boss uko sawa. Sababu kuu ya vikorombwezo vidogo vidogo ni kukuzuia usiende kwao, siyo kutaka data. Pia wanajua kuwa internet yetu si kali sana lakini wanaweka time out fupi, kila ukifika katikati inakatika inabidi uanze upya. Nia yao si kukusaidia bali ni kukukatisha tamaa. Hii ni vita ya kisiasa, njia pekee ni tit for tat. Wanatuwekea ngumu, na sisi tuwawekee ngumu. Rais alisema jana wakizuia maziwa yetu na sisi tuzuie yao.
 
Very True.
These people are just against economic refugees. Wanajua hali huku ilivyo na kuna few wanatafuta green pastures nnje mostly UK & US wanachofanya wao sasa ni kuwawekea vigezo sumbufu na vigumu.

Sitosahau siku natumiwa barua nyumbani nikiwa UK kunikumbusha visa yangu inaisha tarehe flan so iwe clear na itanibidi nijiandae niondoke before the visa ends tena u have to sign the delivery as u receive it while showing the delivery guy ur valid passport.

Sijui wanafkiri ni peponi kule.
 
Back
Top Bottom