The CIA
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 479
- 478
Mwizi ni mwizi, kutumikia taifa kwa kwa muda mrefu kwa njia isiyo sahihi haiwezi kuhalalisha kosa.....Mleta mada ni mtoto mdogo wa juzi juzi huelewi mambo haya yalitokeaje na wala si kosa lao hao unaowaita wenye vyeti feki.
Hebu fikiria mtu ametumikia taifa maisha yake yote leo amekaribia kustaafu ndiyo ulete ngonjera ya vyeti feki ?!. Watu wamebakiza miezi, mwaka au hata miaka miwili, mitano ndiyo adhulumiwe ?! Ni mfumo ulioleteleza hali hii na pia huko fair kwani wana siasa na wanajeshi hajashirikishwa.
Hapo kama wameona siyo kosa lao basi wawaache waendelee na kazi.