Rais wetu akisafiri Marekani anatumia ndege zetu?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,346
2,000
Kama tunavyofahamia nchi yetu ina ndege karibu 8 sasa pamoja na ile ya Rais.

Je, Rais akiwa na safari ya kwenda nchi za mbali mfano Marekani, China, Korea, Uingereza anatumia hizi ndege zetu au anatumia ndege za mashirika mengine mfano Qatar Airways, Ethiopia, Emirates, KLM etc?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
5,114
2,000
Ndege ya Tanzania haina ruhusa ya kutua USA.

Mkiomba kibali wanamtuma secret agent wao ajaribu kupanda ATC na mijusi, mi ngada, mi bastola, mi twiga, mi bomu, kwa kutumia rushwa au kwa kuificha…. Akipeta wanaona aaaah… hawa bado sana hawa….
Jamiiforums katika ubora wake!! Kana flow??

Kana flow buda
 
mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
4,517
2,000
Anapanda usafiri wa huko mbele kama alizosema mdau hapo, mbali sana kule
 
Flight_controller

Senior Member
Dec 4, 2018
137
250
Kama tunavyofahamia nchi yetu ina ndege karibu 8 sasa pamoja na ile ya Rais.

Je, Rais akiwa na safari ya kwenda nchi za mbali mfano Marekani, China, Korea, Uingereza anatumia hizi ndege zetu au anatumia ndege za mashirika mengine mfano Qatar Airways, Ethiopia, Emirates, KLM etc?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Anatumia ndege special ya rais...mashine kali gulfstream G550.
Screenshot_2021-09-18-06-56-19-504_com.flightradar24free.jpg
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,659
2,000
Acheni atumie pesa, mlikuwa mnataka mtu wa kutumia ya kodi zenu kaja, kapewa mbinu anazitumia mnaanza kuimba ngonjera
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,192
2,000
Nyota yake iling'ara Sana siku za mwanzo, Ila kuzuia demokrasia na kuamuru ukandamizaji?? Natamani awashiwe Moto mabango na kelele zote huko.
 
Kifaurongo

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
4,042
2,000
Kama tunavyofahamia nchi yetu ina ndege karibu 8 sasa pamoja na ile ya Rais.

Je, Rais akiwa na safari ya kwenda nchi za mbali mfano Marekani, China, Korea, Uingereza anatumia hizi ndege zetu au anatumia ndege za mashirika mengine mfano Qatar Airways, Ethiopia, Emirates, KLM etc?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kutoka kuaminishwa "haingii nchi yoyote ughaibuni, sababu tumemchongea", hadi kujadili ndege gani ataitumia!!! 🙉🙉 Kweli si ni wadanganyika🙊🙊
 
Mar 19, 2021
64
125
Kama tunavyofahamia nchi yetu ina ndege karibu 8 sasa pamoja na ile ya Rais.

Je, Rais akiwa na safari ya kwenda nchi za mbali mfano Marekani, China, Korea, Uingereza anatumia hizi ndege zetu au anatumia ndege za mashirika mengine mfano Qatar Airways, Ethiopia, Emirates, KLM etc?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Tayari ndani ya miezi sita ameshasafiri mara 9 hii hatari
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,550
2,000
Ndege ya Tanzania haina ruhusa ya kutua USA.

Mkiomba kibali wanamtuma secret agent wao ajaribu kupanda ATC na mijusi, mi ngada, mi bastola, mi twiga, mi bomu, kwa kutumia rushwa au kwa kuificha…. Akipeta wanaona aaaah… hawa bado sana hawa….
Sii kweli, Tanzania tuna mkataba wa anga huria na Marekani, ndege za Tanzania, rukhsa kutua US anytime any day, anywhere, na ndege za US rukhsa kutua Tanzania anytime. Kinachohitajika ni vitu viwili tuu, ndege hiyo iwe na vibali vya IATA, yaani international airworthiness clearance na kutoa taarifa, notification ili kupata kupata clearance ya kutua popote in US.

Nimesafiri sana na Ben, na JK. Ben alitumia Swissair, nimesafiri na JK alitumia BA, KLM na Emirates. Sababu ni enzi hizo hatukuwa na midege ya long haul. Sasa tuna midege yanye uwezo wa kuruka nonstop Dar -NY - Dar, asipotumia ndege yetu, sababu itakuwa cost benefits index, maana hilo wese tuu, ni usipime!.

Ingekuwa ni nchi nyingine, hii trip ingeandaliwa na kutangazwa vilivyo, rais wetu anatua JFK na Dege letu lile li Dreamliner likiwa fulu fulu!?
P
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom