Rais, Waziri mkuu Ebu tuelezeni hivi mfuko wa maafa hela zake ziko wapi jamani??

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Apr 19, 2016
713
759
Sijui kwanini mnafanyaga mambo bila kufikiria, sijui mnatuonaga wajinga au mazwazwa! Kuna mfuko wa maafa uliyo chini ya ofisi ya waziri mkuu na kila Bunge la bajeti mfuko huu utengewa fedha mnazipelekaga wapi?

Maana tangu mh. Rais uingie madarakani huu mfuko hamjawahi kutoa fedha kusaidia wahanga, Si Bukoba, Arusha na sasa Ukerewe!

Sasa hivi mmefungua account ya maafa kwa ajili ya ajali ya huko ukerewe na pole mnayotoa ni laki tano hivi zitakazobaki mnapelekaga wapi.
 
Sijui kwanini mnafanyaga mambo bila kufikiria, sijui mnatuonaga wajinga au mazwazwa! Kuna mfuko wa maafa uliyo chini ya ofisi ya waziri mkuu na kila Bunge la bajeti mfuko huu utengewa fedha mnazipelekaga wapi? Maana tangu mh. Rais uingie madarakani huu mfuko hamjawahi kutoa fedha kusaidia wahanga, Si Bukoba, Arusha na sasa Ukerewe!
Sasa hivi mmefungua account ya maafa kwa ajili ya ajali ya huko ukerewe na pole mnayotoa ni laki tano hivi zitakazobaki mnapelekaga wapi.
Mdomo uliponza kichwa, je wewe unahakika mfuko wa maafa ulitengewa Tsh ngapi na bunge? Je wewe umetoa Tsh ngapi kama hawa viongozi wametoa angalao hizo Tsh laki 5 ?, Je hao waliokutuma wao wametoa Tsh ngapi? Kumbuka ni aibu kuongozwa na DJ tena aliyepata sifuri kwenye mtihani wa kuhitimu elimu yake, halafu kang'ang'ania SACCOS ya Baba Mkwe wake inayochangisha hela za Wabunge kila mwezi mil.1 kila Mbunge, na hazionekani zinatumika kwa kazi gani, mbona hizi hauzihoji???
 
Kama uelewi hizo fedha zinazotengwa kwa ajili ya maafa ni kodi zetu na wala siyo fedha zao. Elezeni basi mwaka huu mfuko ulitengewa kiasi gani na mmetmia kiasi na balance ni kiasi gani waizi wakubwa nyie
 
Kwan serikali si imetoa laki 5 kwa kila familia ili kusuport mazishi...zmetoka wap?
 
Mdomo uliponza kichwa, je wewe unahakika mfuko wa maafa ulitengewa Tsh ngapi na bunge? Je wewe umetoa Tsh ngapi kama hawa viongozi wametoa angalao hizo Tsh laki 5 ?, Je hao waliokutuma wao wametoa Tsh ngapi? Kumbuka ni aibu kuongozwa na DJ tena aliyepata sifuri kwenye mtihani wa kuhitimu elimu yake, halafu kang'ang'ania SACCOS ya Baba Mkwe wake inayochangisha hela za Wabunge kila mwezi mil.1 kila Mbunge, na hazionekani zinatumika kwa kazi gani, mbona hizi hauzihoji???
jitahidi kupumzisha kidogo akili....fanya mazoezi,nenda kapunge upepo wa bahari hta masaa mawili,kula vizuri kwa maana ya vyakula vikavyo kupa uwezo wa kufikiri vizuri na kutenda,kama unamarafiki watembelee ukabadilishane mawazo mawili matatu nje ya siasa...penda kuongea na wazazi wako kipindi hiki mara kwa mara..BAADA YA MWEZI UTAKUJA KUONA FAIDA ZAKE
 
Mfuko wa maafa ni kwa ajili ya viongozi tu,wakipata ajali wanatuma chopa haraka sana kumchukua na kumpeleka dsm
 
Mleta mada ana swali la msingi ila baadhi wanaleta siasa.
Hizo pesa hufanya nini? Ni wakati wa Waziri Mkuu kuweka visibility kwenye hiki kitengo muhimu. Nahisi hakina kiongozi na kama yupo hajui muhimu wake au hakipiganii.
 
Back
Top Bottom