Nimegundua kwamba moto alioingia nao Magufuli sasa umepoa baada ya kugundua kwamba watanzania si waoga bali ni waungwana. Watanzania wamefikia mahali ambapo hawaogopi vitisho wala kwenda jela kwao sio ishu tena.
Mfano mzuri ni utitiri wa nyimbo za hip hop zinazoeleza hisia za watanzania bila woga! Hongera Magu kwa kutukomaza! 2020 sipati picha uchaguzi utakavyokuwa.
Mfano mzuri ni utitiri wa nyimbo za hip hop zinazoeleza hisia za watanzania bila woga! Hongera Magu kwa kutukomaza! 2020 sipati picha uchaguzi utakavyokuwa.