Uchaguzi 2020 Rais wangu ukitaka tukuchague tena njoo na majibu ya kueleweka kuhusu haya maswali, bila hivyo hufai kuendelea

Hana majibu na hawezi kukujibu sana sana atakuteka, Uzalendo sio kuhoji...
nchi ya wajinga sana hii.
 
Atakapokuja kwenye kampeni atueleze hizi ahadi zake amezitekelezaje sio anaonba kura tena ilihali ahadi za awali zimemshinda, pia hata wewe hapo sijaona ulichojibu zaidi ya upuuzi wa kujitoa ufahamu
Ni vigumu kumridhisha mtu mmoja mmoja
Sisi tunafanyia kazi mambo yanamgusa mwananchi moja kwa moja kama elimu,afya maji lishe n.k
Huko kote tumefanya vizuri
Ni haki yako pia kumyima kura Magufuli wala sio jinai,usijibanze kwenye maswali dhaifu,wengi wanatambua kazi iliofanywa,tukutane October,2020
 
Umeambiwa Rais ajibu hayo anapoomba kura kwa wananchi, Mbona una kiherehere kama mkojo wew . Ivi huoni mtoa mada kaongea mambo muhim apo au ?
Hayo ndio yatakuwa majibu,kama hutaki unaruhusiwa kumchagua Hashim Rungwe,sie tupo kazini
 
7. Uliuahidi umma wa Watanzania utazingatia utawala bora kwa kifuata misingi ya katiba na sheria za nchi lakini kila mtu amejionea mambo yalivyokua ndivyo sivyo, kuna wakati katiba inakanyagwa kabisa hadharani na hakuna wa kuhoji.
Mimi ningeridhika sana na aliyokwishafanya, hata nusu yake kama angezingatia hiyo namba moja tu, yaani 'namba 7' katika andiko lako lote.
 
Back
Top Bottom