Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,620
- 34,053
Huyu hana kitu. Watu tu walimhisi hivyo kutokana na vita yake na Mbowe ila siyo yeye.Hana njaa.
Anakula mafao ya naibu waziri aliyetumbuliwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hana kitu. Watu tu walimhisi hivyo kutokana na vita yake na Mbowe ila siyo yeye.Hana njaa.
Anakula mafao ya naibu waziri aliyetumbuliwa!
Mkuu Gracious , humu JF, akili hazifanani, unapokutana na member asiye na adabu kama Wakudadavuwa, saidia kumuelewesha amekosa wapi adabu, kwasababu nina mashaka na kiwango chake cha uelewa, hizo akili za kujua amekosea wapi sidhani kama anazo, hivyo ukiona kosa, saidia, mfano mimi, nilipoona tuu anamuita rais Samia, ndugu yangu, nikamrekebisha kuwa Samia, hata kama ni ndugu yake, baada ya kuwa ndiye rais wa JMT, kila akitajwa lazima awe addressed as Rais Samia na Ndugu yangu Samia!.Huna adabu kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania..kama una akili utaelewa umekosea wapi kwenye post hii
Kwanza kampuni mbili zikiungana suala la kupunguza baadhi ya man power haliepukiki.Sasa hizo benki Samia anazimiliki?..
Kupunguzwa ni ishu ya kawaida..ishu ingekuwa wanaondolewa wabongo na kuletwa wakenya hapo ungekuwa na hoja
Tafuta hela na wewe uwekeze kama alivyofanya Kenyatta,msipende kulialia,lazima tufuate kile wawekezaji wanachotaka mamaye🤣🤣🤣🤣Ndugu yangu Samia,
Ninajua umezongwa na vimemo,
Ila ninakushauri kuwa ziara ya Kenya imeanza kuleta madhara kwa Watanzania.
Benki ya CBA ambayo ni Mali ya Kenyata inampango kupunguza wafanyakazi bila kufuata utaratibu.Cha kwa kwanza hakuna sababu yoyote kupunguza wafanyakazi haswa ukizingatia CBA imeungana na NIC kuwa benki kubwa.
Kabla hili halijawa kubwa naomba ulishighulikie,nchi yetu inataka ajira sio kupunguza wafanyakazi.
Huyu Jamaa sijui anewaza nini, enzi ya shujaa wetu kampuni binafsi zilipunguza sana wafanyakazi, nyingine kufunga biashara na nyingine kufungiwa na serikali mfano Billcanas..! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mbona haya hakuyaongea enzi ya Magufuli. Atulize mshono tu, Mama wa watu afanye kazi, tuna mahakama ya usuruhishi mambo ya kazi kama kuna mfanyakazi hajaridhika aende tu mahakani, wengi tumepitia huko kwa ushauri kipindi hicho wewe ukiwa praise teamZiara ya Rais Kenya na hili jambo la CBA kupunguza wafanyakazi kuna mahusiano gani ?? Halafu usiogope kupunguzwa kazini Sisi kipindi cha Mwendazake tushapunguzwa sana mpaka tushazoea na pesa zetu NSSF alizigomea.
Pambana mkuu usilie sana.
Sawa kabisa mkuu Pascal Mayalla nimekuelewa vyema sana.Mkuu Gracious , humu JF, akili hazifanani, unapokutana na member asiye na adabu kama Wakudadavuwa, saidia kumuelewesha amekosa wapi adabu, kwasababu nina mashaka na kiwango chake cha uelewa, hizo akili za kujua amekosea wapi sidhani kama anazo, hivyo ukiona kosa, saidia, mfano mimi, nilipoona tuu anamuita rais Samia, ndugu yangu, nikamrekebisha kuwa Samia, hata kama ni ndugu yake, baada ya kuwa ndiye rais wa JMT, kila akitajwa lazima awe addressed as Rais Samia na Ndugu yangu Samia!.
Watu kama hawa kina Wakudadavuwa ni watu wa kusaidiwa.
P
bado akili yake imebaki awamu iliyopita. anadhani kila kitu kinaendeshwa kwa amriHio Benki ni NGO kwani? Watu wako kwenye Biashara zao unawapangia cha kufanya?
Kafungue kesi CMA achwa udwanzi wa kumsumbua mamaNdugu yangu Samia,
Ninajua umezongwa na vimemo,
Ila ninakushauri kuwa ziara ya Kenya imeanza kuleta madhara kwa Watanzania.
Benki ya CBA ambayo ni Mali ya Kenyata inampango kupunguza wafanyakazi bila kufuata utaratibu. ha kwa kwanza hakuna sababu yoyote kupunguza wafanyakazi haswa ukizingatia CBA imeungana na NIC kuwa benki kubwa.
Kabla hili halijawa kubwa naomba ulishighulikie,nchi yetu inataka ajira sio kupunguza wafanyakazi.
Heshima hiyo hadi kwa Mwendazake au kwa Samia tu?Mkuu Gracious , humu JF, akili hazifanani, unapokutana na member asiye na adabu kama Wakudadavuwa, saidia kumuelewesha amekosa wapi adabu, kwasababu nina mashaka na kiwango chake cha uelewa, hizo akili za kujua amekosea wapi sidhani kama anazo, hivyo ukiona kosa, saidia, mfano mimi, nilipoona tuu anamuita rais Samia, ndugu yangu, nikamrekebisha kuwa Samia, hata kama ni ndugu yake, baada ya kuwa ndiye rais wa JMT, kila akitajwa lazima awe addressed as Rais Samia na Ndugu yangu Samia!.
Watu kama hawa kina Wakudadavuwa ni watu wa kusaidiwa.
P
Vijana wa Lumumba vinafiki vibinafsi,wenzao wakilia vinashangilia yamekuja kwao vimeanza kutoa shuzi.Hivi kuna kipindi watu wamepoteza kazi na maisha kama enzi za jiwe na wew ulikua unashangilia?Wangapi walipoteza kazi kwa sbb ya ukatili wa jiwe?Ndugu yangu Samia,
Ninajua umezongwa na vimemo,
Ila ninakushauri kuwa ziara ya Kenya imeanza kuleta madhara kwa Watanzania.
Benki ya CBA ambayo ni Mali ya Kenyata inampango kupunguza wafanyakazi bila kufuata utaratibu. ha kwa kwanza hakuna sababu yoyote kupunguza wafanyakazi haswa ukizingatia CBA imeungana na NIC kuwa benki kubwa.
Kabla hili halijawa kubwa naomba ulishighulikie,nchi yetu inataka ajira sio kupunguza wafanyakazi.
Kaka wa Taifa umeongea umemaliza!Mkuu Wakudadavuwa , kwanza Samia sio ndugu yako, na hata akiwa ni ndugu yako toka nitoke, when you address her in public, ni Rais Samia!
Pili you are letting me down, hujui tofauti ya public entities na private sector, hujui kuwa PPR ikiamua kupunguza wafanyakazi, Rais Samia hawezi kufanya lolote?. Unataka rais Samia aingilie uendeshaji wa private sector?. No please its not you.
Tatu, japo corona imechangia kwa kiasi kikubwa huu mdororo wa uchumi, private sector inaendeshwa kwa profit margin baada ya ku break even kwa the capital injected. Kama umeingiza pesa na huo faida, you just can't operate on loses throught, unless kama Mama Samia ataiamuru BOT kutoa stimulus package kwa mabenki ili kufidia operational costs. Kiukweli yule Kaka yako, japo ametufanyia makubwa, lakini pia ametuharibia sana private sector yetu.
Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer
Wanabodi Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha...www.jamiiforums.com
P
Hakuna mkenya bank inapunguza wafanyakazi baada kuungana wamekuwa wengi kazi zile zile nafasi chache....hapo hakuna namna wala mahusiano ....jipange tu uvute chako ukajiajiri ....toa mentality kuwa lazima uajiriwe...maisha yapo tu kamata mpubga njoo kitaa fursa tele wewe tu.....June hii shika 25m ukilipwa nenda ifakara nunua mpunga weka store pumzika Oct utauza double umekuza mtaji ......nunua bajaj 3....pikipiki 2 utakula hadi June nect year......chukua 25m zako Ifakara .....on your way akili itakuja utaongeza vingine acha mawazo mgando....Unamaanisha wanakuja Wakenya kufanyakazi ambazo ulikuwa unafanya?
FUNGUKA acha kujiuma uma, Mama yuko kusikiliza.
Kama ni mwajiliwa huko get relaxed ila pia elewe uhalisia. You gotta know that NIC na CBA zote ni banks sa wakenya wakikuyu tycoons ukiacha CBA ni ya Kenyatta family, sasa katika M&A adjustments ikiwemo kupunguzw kwa wafanyakazi haiepukiki.Ndugu yangu Samia,
Ninajua umezongwa na vimemo,
Ila ninakushauri kuwa ziara ya Kenya imeanza kuleta madhara kwa Watanzania.
Benki ya CBA ambayo ni Mali ya Kenyata inampango kupunguza wafanyakazi bila kufuata utaratibu. ha kwa kwanza hakuna sababu yoyote kupunguza wafanyakazi haswa ukizingatia CBA imeungana na NIC kuwa benki kubwa.
Kabla hili halijawa kubwa naomba ulishighulikie,nchi yetu inataka ajira sio kupunguza wafanyakazi.