Rais wangu ni dr slaa, my president dr slaa, unanilazimisha that is it | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wangu ni dr slaa, my president dr slaa, unanilazimisha that is it

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Obama08, Nov 5, 2010.

 1. O

  Obama08 Senior Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ameshinda wakaiba, unataka ushahidi, huu hapa
  waliojiandikisha mil 20
  waliopiga kura baada ya kuchakachua mil 8
  jk kapata 5 mil
  dr slaa 2 mil
  waliobaki wote wako wapi? Nasema rais wangu dr slaa, huwezi badilisha hilo
  piga ua, dr slaa ur my life president hadi mungu anichukue, ccm jinamizi baya
  dr slaa ni mkombozi, mkombozi
  mtetezi wa taifa na wanyonge, wanyonge,
  ni shujaa, shujaa, shujaaaaaaaaaaa
  ni dr wa ukweli, ukweli na ni mkweli
  kiboko wa mafisadi, mafisadi, mafisadi
  anaweza kutoa mishahara, elimu, afya, nyumba bora, bora, boraaa
  sikubali, usinilazimishe, don't force me, don't push me, kwa rais nisiye mtaka, i say no, nooo, nooooooooo
  it is my legal right, it is my choice, it is democracy, nasema wazi kwa sauti kubwaaaaaaaaaaa, loud and clear, it is me, my president is dr slaa, dr slaa ww ni chaguo letu, ilikuwa hivyo na itabaki hivyo, juzi, jana, leo kesho na milele, u can not take that from me, period
   
 2. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I will not recognize CCM as the ruling party of Tanzania.
   
 3. W

  We can JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  This VOICE has a strong message. I would not assume that all people are happy, nor are they at peace of mind.
   
 4. spartacus

  spartacus JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  slaa atakuongezea wapi ndugu yangu, da thing z kukubali tu, na kustruggle to make things better
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nachuki kubwa sana kila nionapo nembo ya CCM......imezaa kitu ambacho ni kigeni ndani yangu...kama mtanzania mpenda amani sikutegemea jambo hili linitokee.....nimelazimishwa kupewa kiongozi ambae sikumtaka.....ni adhabu kubwa sana ambayo nitaitumikia kwa miaka 5....i wish kama...naomba niishie hapo.....machungu niliyonayo....hayakadiriki
   
 6. O

  Obama08 Senior Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado tupo pamoja Dr Slaa, hujaibiwa ww bali ni sisi, our right, choice, votes has been stolen, hatukubali, ur our President. Pipoooooz power, aluta continua, yaani ndio napiga kampeni sasa mara 100 zaidi
   
Loading...