samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,212
Zifuatazo ni gharama za maendeleo;
1. Wazembe na wapumbavu kufa.
2. Wazembe na wapumbavu kufilisika.
3. Wazembe na wapumbavu kwenda jela na
mateso makali.
4.Wazembe na wapumbavu kukimbia nchi.
Wazembe na wapumbavu ni wezi wa mali za umma, wavivu kazini, wapokeaji na watoaji rushwa za hela,ngono nk,watu wasio wazalendo na kila aina ya ujinga unaolitia taifa hasara..
Zifuatazo pia ni gharama za uzembe na upumbavu;
1. Taifa kuwa masikini.
2. Kila kitu kufail kwa taifa husika.
3. Wananchi wa taifa husika kupenda ngono na
ulevi kupita kiasi.
4. Elimu kuwa duni.
5. Miundo mbinu kuzorota na kila kitu kushindwa
hata kama taifa lote limejaa dhahabu.
Madhara ya kukumbatia uzembe na upumbavu ndio sababu ya tanzania kufika hapa, njia pekee ya kutoka hapa ni kupambana na uzembe na upumbavu.
Njia pekee ya kupambana na wazembe ni kutonegotiate nao, baadala yake ni kuwaua na adhabu kali kwenye majela ya chini ya ardhi, tuugeuze mgodi mmoja wa underground kuwa jela yao.