Rais wangu mpendwa nisaidie nataabika

Pole sana mkuu.

I know how it feels kuwa na familia na usiwe na shughuli ya kukuingizia kipato kudumu kuiendesha familia. Ila jipe moyo, ni swala la muda, Mungu atakusaidia.

Kuna jamaa nilikutana nae 2015, alikuwa ametoka soma masters ya mambo ya IT. Hakuwa na kazi, aliyokuwa anafanya mwanzo ilikuwa ya mkataba, alienda kusoma baada ya kumaliza. Alikuwa na wakati mgumu sana, he struggled for three years. Kuna siku alimwaga machozi mbele yangu akanambia "mdogo wangu(amenizid miaka 11) nna wakati mgumu sana, natamani hata kuikimbia familia, sistahili kuishi hivi kwa elimu niliyonayo." That day mtoto alikuwa anaumwa, inahitajika kama 350k afanyiwe upasuaji na hata 10k hana, I gave it to him.

2018 akapata kazi, sasa hivi amesahau yote alopitia and he is doing well in his life. Yanapita tu hayo mkuu, kwa wakati huu omba Mungu akupatie watu ama mtu wa kushikana na wewe. Sijui imani yako ila just pray a simple prayer that God raise someone in these trying times you are going through.
 
Back
Top Bottom