madugu mr
Member
- Nov 9, 2015
- 7
- 32
Nakumbuka rais kipindi kile anatafuta kura mwanza baadhi ya ahadi alizosema zinaonesha wazi hazitekelezeki.
1*kiwanda cha ngozi cha ilemela 2 weeks baada ya kuapishwa ila Leo ni mwezi na zaidi
2*kupanua barabara ya furahisha kuwa njia NNE mpaka airport. sa jaribu kuvuta picha watawezaje kupanua wakati kuna soko la east africa hapo duh..!
3.*meli mbili ila ikumbukwe MV Victoria engine yake mbovu na imeshindwa replacement.. duh..!
4*hii ni kubwa mwanza kuwa Geneva ikumbukwe bugarika wanauza gongo na police hakioneka amani inatoweka kwa wananchi duh..sijui Geneva gani isiyo na amani ...ila nakuombea huyafanikishe haya mheshimiwa raise
N*B
~~2005 kaka ako jk alituambia mwanza itakuwa PARIS ila mpaka Leo 2016 kasoro mwanza imekuwa ikimkumbuka nyerere enzi ya viwanda vya ngozi, pamba, mwatex vijana Wa mwanza hawakuijua tabu ya ajira rudi baba Wa taifa hili.
*ridhiwan anavyomzidi pesa Vincent nyerere.
*njo ujionee mama salima anavyomzidi Mali bibi yetu maria .
****mungu ibariki tz"********