kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 4,818
- 9,172
Tatizo ni hii biashara yetu ya matairi 'used' kupigwa marufuku.yaani hapa nilipo ashanipa msongo wa mawazo!!!View attachment 322935 Tatizo ni nini?
Mliipenda wenyewe chaguo lenu wenyewe ,acha waisome namba eeeh chichiem mbele kwa mbeleSina haja ya kusema mengi,jionee mwenyewe sasa tunauza Maringi tu,Maringi tu!!!hizi fremu tutalipaje pango!mpaka mtu abadilishe ringi ya gari lake lini..?tuhurumie wenzako
Hilo nalo neno Lkn japo tungepewa muda tujiandae kisaikolojia na kimtaji!!Lakini ghafla bin vuu 'kuanzia leo sitaki kuona tairi used zikiuzwa',Aah hapo ndo msongo wa mawazo unapoanzia.Kwani ajali zote ni matairi kupasuka?Badilisha biashara..vinginevyo jiji litakushinda.
Mlitakiwa mfunguliwe na mashtaka ya kuua kwa kusudia,mmesababisha ajali nyingi sana.Tatizo ni hii biashara yetu ya matairi 'used' kupigwa marufuku.yaani hapa nilipo ashanipa msongo wa mawazo!!!
Wanaziita mihogo mkuu.Mi nathani sio tairi peke yake nishawai kukanyaga jiwe rimu ikavunjika nikauliza nikaambiwa eti rimu ilikuwa yakichina speed yenyewe nilikuwa 60 hii ni hatari sana