Rais wangu Kikwete unajua hili tatizo la mafuta? read!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wangu Kikwete unajua hili tatizo la mafuta? read!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  RAIS KIKWETE UNAJUA SHIDA HII TANZANIA..NAJUA BADO UNA KAHARUFU CHA NJE JE HAWA NI WATANZANIA WENZAKO KWELI

  [h=3]libeneke la upatikanaji wese katika baadhi ya vituo jijini dar leo[/h]

  [​IMG]
  Wakazi wa Tabata Segerea na maeneo ya jirani na hapo wakisogeza vidumu katika foleni ya kupata huduma ya mafuta kwenye kituo cha Lake Oil kilichopo maeneo ya Tabata Sanene mapema mara baada ya Serikali kutoa tamko la kuvitaka vituo vyote vya mafuta vianze kutoa huduma hiyo haraka iwezekanavyo japo bado kuna baadhi ya vituo vinaendelea kukaidi amri hiyo ya Serikali.
  [​IMG]
  Mtoa huduka katika kituo cha Mafuta cha Lake Oil kilichopo Tabata Sanene akiendelea kutoa huduma hiyo mara baada ya kupokea amri kutoka kwa bosi wake kwamba aanze kupiga bei wese lililopo kwenye stoku.
  [​IMG]
  Jamaa keshapata na sasa anashukuru mungu.
  [​IMG]
  Hawa wa Boda Boda wamechelewa kufika na hapa wanawaza kwenda kuanza kupanga foleni.
  [​IMG]
  "Eehh... sasa Mafuta tumepata,ila tutaondokaje hapa na wakati tairi halipo??" hivi ndivyo walivyokuwa wakizungumza hawa jamaa ambao walisotea kupata mafuta huku tairi la gari lao likiwa kwa fundi pancha.
  [​IMG]
  "Daaahh.... hapa ahueni kidogo sasa,maana tokea huko mpaka huku!!
  [​IMG]
  Foleni ilienda taratibu,hapa katika kituo ya Lake Oil cha Tabata Sanene.
  [​IMG]
  Kimbembe kingine kilianzia hapa Sinza Afrika Sana,ambapo kituo cha Mafuta cha Camel kimeanza kuuza mafuta tena chini ya usimamizi wa askari Polisi.yaani hapa ni vurugu mtindo mmoja,maana kila mtu anahitaji mafuta kwa wakati mmoja.
  [​IMG]
  Wese likishushwa kwenye kituo cha Camel Sinza Afrika sana.
  [​IMG]
  Hapa ni tafrani mpaka msaada wa Askari Polisi huyu aliamua kuingilia kati na kuwataka watu wote kufuata taratibu iliyokuwa imepangwa kituoni hapo.
  [​IMG]
  Foleni ya Magari na watu wote wakihitaji mafuta.
  [​IMG]
  Hivi ndivyo mambo yalivyo hivi sasa.
  [​IMG]
  Ukifanikiwa kupata mafuta na pumzi inashuka vyema,maana hali ni mbaya sana.
  [​IMG]
  Wadau wakisaidiana kuweza mafuta kwenye gari lao mara baada ya kufanikiwa kuyapata.
  [​IMG]
  Kituo cha Camel Oil Sinza leo.
  [​IMG]
  Kituo cha Oil Com pale Sayansi nako mambo yako namna hii.
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Atalijulia wapi ilhali yeye haishi Tanzania. Nendeni mkamtafute huko aliko mmwambie arudi nchini kuna tatizo la mafuta.
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,881
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Mwenzenu yupo kwenye likizo ya kufuturisha.
   
 4. K

  Karry JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mambo sasa mswano serikali ime act
   
Loading...