General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Rais wangu JPM natambua kwamba unauchungu sana kwa mabaya yaliyotokea na kutufikisha hapa.
Nikiwa mmoja wa kijana ninaeunga mkono harakati zako za kuiweka nchi sawa, lakini kuna sehemu zinanipa kashikashi ya kutoamini ninayo yasikia.
Imeonekana wazi kwamba wakuu wa idara, taasisi, mashirika na bodi za serikali ambazo zinaongozwa na watu wanaotoka sehemu ya kaskaziini umewatumbua pasipo sababu za msingi.
Kwa mtindo huu mheshimiwa Rais unaligawa taifa na kujenga chuki kubwa kwa watu hao.
Tambua kwamba nafasi uliyonayo ni yamuda tu, baada ya miaka mitano au kumi unaweza usiwe kwenye nafasi hiyo.
Huwezi jua nani atarithi kiti hicho baada ya wewe.
Inasikitisha viongozi wengine wamepokonywa mali zao kama mashamba kwa kulipiza kisasi kwakuwa tu wako tofauti na mtazamo wako.
Juzi umetueleza wazi umemfukuza Prof. UDOM kisa kukukosoa.
Ni vema tungeshuhudia haya ukiyatenda kwa watu wote lkn sio upande wa upinzani tu.
Chuki unayoijenga unaiacha inamea kwa watu hao, mwisho wake utakuwa sio mzuri.
Miaka 10 ni michache sana, usije maliza urais umejenga maadui wengi.
Ni hayo tu Mh Rais, Nakuomba uunganishe taifa.
Asalam alyeikum!!