Rais wangu Dr Magufuli pitia upya posho mbalimbali za watumishi wa umma

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,089
Mimi ni miongoni wa watumishi wa umma kada ya Elimu, kwa kipindi changu chote cha utumishi wa umma nimegundua kuwa Walimu ni kada ambayo haitendewi haki na serikali. Hii ni kutokana na mambo yafuatayo:

1. Walimu hawana posho ya aina yoyote, kusahihisha mitihani sio posho bali ni malipo wa kazi ngumu ambayo Mwalimu anaifanya. Hapa naongelea Mock na NECTA, kusahihisho Mock Mwalimu akiwa na afya mgogoro anaweza akafariki.

2. Chama cha Walimu hakina msaada wowote kwa walimu. Tangu tukio la Dr.Ulimboka kupunguziwa meno na baadhi ya watu waliosadikika kuwa majambazi viongozi wa CHAMA cha walimu Taifa wamekaa kimya kama hawapo. Hadi Sasa haijulikani Watumishi wa umma hasa walimu wameongezewa mshahara au hakuna. Kila mtu ukimuuliza anakupatia jibu lake. Posho wanakula na kunywa kutoka 2% ya mishahara ya walimu nikiwemo mimi.

3.Kada zingine wana unafuu kwani kilio cha askari wa barabarani na walimu ni tofauti. Yeye anaweza akakutana na pesa muda wowote inazurura barabarani. Hata akikosa ana posho ya msosi kila katikati ya mwezi kupunguza ukali wa maisha.

4.Wahitimu wa vyuo vya ualimu kukaa zaidi ya mwaka wakisubiri ajira.
Hakuna kitu kibaya kama ahadi, ukiwa na furaha usiahidi. Serikali inalalama uhaba wa walimu wa sayansi lakini kuna walimu lukuki mtaani wamehitimu vyuo wa masomo ya sayansi na hisabati haija waajiri.

Kuna watu huenda wakakejeli uzi huu kwa kusema mleta uzi kwanini hukwenda kusomea kada zingine? Niulize swali, Jambazi akijitapa baa kuwa ujambazi unalipa utamshangilia au utalaumu vyombo vya ulinzi na usalama kutomtendea haki?

Naomba nikale kesho nitakuja kuendeleza namba 5 hadi 10.
 
Acha chuki binafsi.. Ndo maana kila siku mnapigwa siasa.. Kwani ni lazima kuwaongelea wengine kila unapodai maslai yako?
 
Dr. Ulimboka alikuwa wa chama cha madaktari wala sio chama cha walimu.!
 
Rais nae ni Mwalimu atasikia! Ila afadhali hata walimu wana ajira ambazo bado zipo!! Ukilalamika kukaa mwaka mmoja....kada zingine hawana nafasi kabisa utasemaje?
Mimi ni miongoni wa watumishi wa umma kada ya Elimu, kwa kipindi changu chote cha utumishi wa umma nimegundua kuwa Walimu ni kada ambayo haitendewi haki na serikali. Hii ni kutokana na mambo yafuatayo:

1. Walimu hawana posho ya aina yoyote, kusahihisha mitihani sio posho bali ni malipo wa kazi ngumu ambayo Mwalimu anaifanya. Hapa naongelea Mock na NECTA, kusahihisho Mock Mwalimu akiwa na afya mgogoro anaweza akafariki.

2. Chama cha Walimu hakina msaada wowote kwa walimu. Tangu tukio la Dr.Ulimboka kupunguziwa meno na baadhi ya watu waliosadikika kuwa majambazi viongozi wa CHAMA cha walimu Taifa wamekaa kimya kama hawapo. Hadi Sasa haijulikani Watumishi wa umma hasa walimu wameongezewa mshahara au hakuna. Kila mtu ukimuuliza anakupatia jibu lake. Posho wanakula na kunywa kutoka 2% ya mishahara ya walimu nikiwemo mimi.

3.Kada zingine wana unafuu kwani kilio cha askari wa barabarani na walimu ni tofauti. Yeye anaweza akakutana na pesa muda wowote inazurura barabarani. Hata akikosa ana posho ya msosi kila katikati ya mwezi kupunguza ukali wa maisha.

4.Wahitimu wa vyuo vya ualimu kukaa zaidi ya mwaka wakisubiri ajira.
Hakuna kitu kibaya kama ahadi, ukiwa na furaha usiahidi. Serikali inalalama uhaba wa walimu wa sayansi lakini kuna walimu lukuki mtaani wamehitimu vyuo wa masomo ya sayansi na hisabati haija waajiri.

Kuna watu huenda wakakejeli uzi huu kwa kusema mleta uzi kwanini hukwenda kusomea kada zingine? Niulize swali, Jambazi akijitapa baa kuwa ujambazi unalipa utamshangilia au utalaumu vyombo vya ulinzi na usalama kutomtendea haki?

Naomba nikale kesho nitakuja kuendeleza namba 5 hadi 10.
 
Mhhh,ndugu Doctor ulimboka alikuwa Chama cha madaktari sio waalimu,Ukidai haki yako dai wewe kama wewe,Ninavyojua kwenda kusahihisha mitihani necta na mocko huwa kuna posho za chakula,nauli,malazi, na mengineyo. Ndalichako ataliona hilo don't worry...hii serikali ni sikivu sana wape mda .
 
Mimi ni miongoni wa watumishi wa umma kada ya Elimu, kwa kipindi changu chote cha utumishi wa umma nimegundua kuwa Walimu ni kada ambayo haitendewi haki na serikali. Hii ni kutokana na mambo yafuatayo:

1. Walimu hawana posho ya aina yoyote, kusahihisha mitihani sio posho bali ni malipo wa kazi ngumu ambayo Mwalimu anaifanya. Hapa naongelea Mock na NECTA, kusahihisho Mock Mwalimu akiwa na afya mgogoro anaweza akafariki.

2. Chama cha Walimu hakina msaada wowote kwa walimu. Tangu tukio la Dr.Ulimboka kupunguziwa meno na baadhi ya watu waliosadikika kuwa majambazi viongozi wa CHAMA cha walimu Taifa wamekaa kimya kama hawapo. Hadi Sasa haijulikani Watumishi wa umma hasa walimu wameongezewa mshahara au hakuna. Kila mtu ukimuuliza anakupatia jibu lake. Posho wanakula na kunywa kutoka 2% ya mishahara ya walimu nikiwemo mimi.

3.Kada zingine wana unafuu kwani kilio cha askari wa barabarani na walimu ni tofauti. Yeye anaweza akakutana na pesa muda wowote inazurura barabarani. Hata akikosa ana posho ya msosi kila katikati ya mwezi kupunguza ukali wa maisha.

4.Wahitimu wa vyuo vya ualimu kukaa zaidi ya mwaka wakisubiri ajira.
Hakuna kitu kibaya kama ahadi, ukiwa na furaha usiahidi. Serikali inalalama uhaba wa walimu wa sayansi lakini kuna walimu lukuki mtaani wamehitimu vyuo wa masomo ya sayansi na hisabati haija waajiri.

Kuna watu huenda wakakejeli uzi huu kwa kusema mleta uzi kwanini hukwenda kusomea kada zingine? Niulize swali, Jambazi akijitapa baa kuwa ujambazi unalipa utamshangilia au utalaumu vyombo vya ulinzi na usalama kutomtendea haki?

Naomba nikale kesho nitakuja kuendeleza namba 5 hadi 10.
Ni kweli aisee waalimu Mungu awabariki sana. Nikiwa Rais ntawasaidia naamin hata JPM atawasaidia pia.
 
Back
Top Bottom