sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Niandikapo ujumbe, huu ni majira ya saa kumi Na moja Na dakika kumi Na sita,
Natumahi Mh rais utakuwa bado umelala au umeamka Na una peruzi mitandaoni km mm,ili husje peruz muda Wa kazi,.
Mh rais Niko morogoro kwnye chama Ushirika kinaitwa Udzungwa kwa kutoa Huduma ya kukusanya madeni Na elimu kwa wanachama Na watendaji Wa chama,
Niliwahi kuiujuza kuwa chama hiki ni kikubwa sanaaa,ila mpka mwaka jana kilikuwa taabani kufa ilihali wanachama wako hai.
Mh rais walio taka kuua chama hiki nilipata kukwambia kuwa n wanaccm maana walikopa fedha,akiba za wanachama Na fedha kutoka TIB Na CRDB hawakuwa tiyar kuzilipa,mwishowe sisi kama watoa Huduma tuliopewa kibar Na tume ya maendeleo ya Ushirika nchini, tulipowafata weng wao walikwenda kuweka zuio mahakamani kuzuia Mali zao zisihuzwe,wala wasidaiwe mahamakama ikasikia kilio Chao mpka sasa hatuwagusi kamwe.
Mh rais Hawa watu wanaongozwa Na kifyoga katibu mwenezi Wa wilaya ya Ifakara ccm,Mzee Mohamed sanje, alikuw kamanda Wa vijana mkoa Wa morogoro sass Hana cheo,yumo mguruta meya mstafu ccm,yumo nova tusi Na wengine wengi. Hawa watu ni wadaiwa wakubwa sanaaa,Na wanasiasa wakubwa baada yavkuputishwa Sheria ya kuwabana wasiongoze Ushirika nchini wamejipanga Na kuja ikulu kushawishi Sheria hiyo ifutwe,Na pia Ushirika ufutwe Na kulazimisha wanaushirika waamie kwenye kampuni.
Huuu ina maana kuwa tuue Ushirika Na kuruhusu Ushirika huwe kampuni ili waendelee kupata fursa huuu ni uninga tusioweza fumbia macho.
Mh rais ugeni huu ni Mara ya pili unakuja ikulu wahoji wte hao kama sio wanachama Wa Udzungwa Sacos kwanza,pili uliza kama wanalipa madeni yao,Na ni wangap Kati yao wamekwenda mahakamani kupinga kudaiwa?
Wasalaam,wako sifileo kutoka morogoro.