Rais wa Zimbabwe Mh. Emmerson Zambudzo Mnanganwa kupitia ukurasa wake wa Facebook ametangaza tarehe 15/06/2020 kuwa siku ya maombi kwa nchi yake

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,765
Rais wa Zimbabwe Mh. Emmerson Zambudzo Mnanganwa kupitia ukurasa wake wa Facebook ametangaza tarehe 15/06/2020 kuwa siku ya maombi kwa nchi yake ili Mungu aiepushe zimbabwe dhidi ya janga hili la Covid-19 ambayo linaisumbua dunia.

Basi Tuseme, Jiwe litabaki kuwa Jiwe. 2020
IMG_3356.JPG
 
Basi hiyo account itakuwa fb wanaifuatilia ili waifabyie verification
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom