Rais wa Zanzibar Dr Shein ateua washauri wake wa maswala ya siasa Historia na Ardhi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,867
141,797
Rais wa Zanzibar mh Dr Shein amefanya uteuzi wa washauri wawili watakaomshauri yeye na mmoja atakayemshauri Waziri wa ardhi

Dr Shein ameteua mshauri wa Rais katika maswala ya siasa.

Ameteua pia mshauri wa Rais katika mambo ya kale na Historia.

Na mwisho amemteua mshauri wa waziri wa Ardhi

Source Star tv habari!
 
Hongera sana kwa uteuzi. Nakutakia kazi njema

Back
Top Bottom