Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

Zanzibar wamechukua 18% ya mkopo

Extremely unfair to Tanganyika

Zanzibar kuna watu wachache kuliko Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni yenye watu 1.7 million. Wazanzibar hawajafika 1.7 mil. Wazanzibar hawawezi kujaza nyumba, viwanja na mashamba ya Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni.

Zanzibar kwa ukubwa inaingia Halmashauri ya Sikonge mara 14.

Uchumi wa karafuu, uvuvi, utalii na kila kinachoendea Zanzibar ni mdogo kuliko uchumi wa mgodi mmoja wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama.

Zanzibar ni mfano wa wilaya, walipaswa wapewe nusu asilimia ya mkopo, 0.5%. Yani 1 gawanya kwa 180 (idadi ya wilaya) zidisha mara mia moja = 0.5% ya mkopo.

Zanzibar wanatunyonya sana Tanganyika

Nyerere alituuza kama mbuzi wa mnadani
Haya mambo yenu ya kijinga ndio yanadogosha muungano mkuu
 
wewe ndio mjinga kwa sababu huna upeo wa kuchambua faida na hasara za muungano

sio kila muungano una faida, ndo maana Uingereza wamejitoa kwenye muungano wa EU, unadhani wao wajinga ?
 
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
===
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA MWINYI VIVA
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
=== Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano, === "Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi VIVA SAMIA VIVA ||VIVA MWINYI VIVA
 
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu.

Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya KSh37,525 au $334 sawa na TZS 770, Two ways.

Lazima tufahanu kuwa mwendo huu wa kasi wa ATCL ni kabla ya ujio wa ndege mpya tano za kisasa zinazotarajiwa kuingia nchini ndani ya kipindi kifupi kijacho, hakika hakuna kama Rais Samia.

Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
===
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA MWINYI VIVA
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
===
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA MWINYI VIVA
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande zote za Muungano,
===
"Tumepata bahati ya kupata mkopo wa IMF dola za Marekani milioni 100 sawa na bilioni 230, nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha serikali ya Zanzibar inapata mgao wake katika mkopo ule wa trilioni 1.3 uliokopwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" -Rais Hussein Mwinyi

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA MWINYI VIVA
Tanzania na Samia mwendo ni mzuri sana
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Back
Top Bottom