Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi punguza sana Cheap Publicity ambayo naona inaanza kukuzoea sasa

Wakati alisema.

Nchi imehalibiwa sana hii..!

Naamini yeye ataihalibu kuliko waliohalibu mwanzo.
 
All in all Mwinyi apewe muda, ameshaongea mengi na kuadhimia mambo mengi sana tuone kwa vitendo sasa, moja ambalo sasaivi karibu analimudu kwa 80% ni nidhamu serikalini na sehemu za huduma ingawa bado urasimu upo, jengine amefanikiwa kuondoa utawala wa chura kwenye ngazi ya watendaji amepiga fyagio la nguvu sana kuondoa wale waliozoea kurudi madarakani kila rais akitangazwa,. yaani ni safi sana, safi sana. Tunalosubiri sasa ni Maendeleo ya kiuchumi hasa kule Pemba mana alisema pemba kulitengwa sana awamu zilizopita waliimarisha zaidi Unguja, lakini tunamsubiri kwenye uchaguzi wa 2025 je atakubali wapemba wapelekewe vifaru na majeshi ya kukodi toka ruwanda? lakini je atafanikiwa kuondoa Upemba na Uunguja, mazombi walikokuwa wanapiga watu majumbani bila sababu? haya mambo nina hamu nayo sana kumuona huyu jamaa kama kweli ni Genius.

Hayo mambo ya kusoma gazeti kwenye ndege sijui Baraka Obama i don't care
 
Naona Mwinyi anamu outperform beberu jenzie la bara huko....

Mwinyi ni more democratic, more economically savvy, smarter, more likable zaidi ya jiwe

Sasa naona mawivu yameanza kuwatafuna wenyewe kwa wenyewe humo ndani

Na jinsi mawe hapendi kufunikwa,hakuna namna lazima afunikwe awe exposed kua hajui kitu.

Mwinyi ni huru ni rais wa nchi huru,sasa mawe ajiandae kufunikwa vya kutosha

Chadema ilionekana adui kwa kumu-expose mawe,sasa Mwinyi ndio anaexpose uzaifu wa hili jamaa fully

Mtajiju mambogamboga huko!
Chadema inahangaika na mambo ya kijinga
 
Hahahaaa

Kama inahangaika na ujinga si ni vizuri kwenu nyie CCM?

Yanini inakuuma?

Wacha Chadema ihangaike which is beneficial to you...

Mungu wa dunia hii anafunikwa,sijui mtamtumbua of which you cant..tena mkimzengua anajitoa kwenye muungano wa kibwege huu

Mawe anakua exposed how useless he is!

Deal with it mbogamboga!
Anafunikwa vipi sasa?

Mbona mko wajinga sana?
 
Mwendo wa HAM ni talk the talk and walk the walk- amerejesha "ngazi mia "to rightful owners-Wanamoezi tumeelewa .Zanzibar ni zaidi ya tofauti zetu. UNITY IN DIVERSITY.
 
Umeongea pumba isipokuwa sentensi mbili za mwisho.

MWINYI AWE MAKINI NA MZEE WA CHATO. JAMAA ANAPENDA KUABUDIWA YEYE TU NDIO MAANA HATA BARAZA LA MAWAZIRI KAWEKA MAFALA WATUPU ILI WAZIMZIDI UMAARUFU.
 
Unamteua Waziri Mkuu halafu unamdhalilisha mbele za watu kuwa nitakutandika wewe na shangazi zako na yeye anakenua tu meno badala ya kujiuzuru.

Siku nyingine anakudhalilisha tena kuwa hata meseji zako huwa sijibu ili usijione upo karibu na mimi. Huo si ufala?

Au naongea uongo ndugu zangu?
 
Kero ni pale alipoapishwa kama waziri mbele ya rais picha zake ziliwekwa mitandaoni.

Hayapo mazoea ya rais wa Zanzibar kuapishwa halafu picha zikawekwa hadharani.

Wawili hawa mpaka 2025 watakwaruzana sana chini kwa chini.

Ukizingatia yule anamwamkia huyu.
 
Zanzibar kwa sasa inahitaji raisi wa aina hiyo. Siyo mtu serious na raisi mkali wa kumwogopa.
 
Kuna Mtu wako Mmoja wa karibu mno hasa kutoka Wizara uliyokuwa ukiiongoza huku Tanzania Bara kwa muda mrefu kanidokeza ya kwamba Role Models wako wakubwa Kiuongozi na ambao unawakubali sana ni aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Hussein Obama na Rais Mstaafu wa Tanzania kwa Awamu ya Nne Mzee Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.

Sikatai Mtu kuwa na Role Model au Role Models wake duniani kwani hata Mimi pia nilitamani kweli kweli kuwa kama Mchezaji wa Kifaransa japo ana Uraia wa nchi uliyowahi Kusoma pia ya Algeria Zinedine Zidane 'Zizzou' lakini nikajikuta sijafikia Malengo ya Kumuiga na kuwa kama Yeye hadi sasa nipo zangu tu hapa Kisiwani Pemba na Kazi yangu hii ya Kupara Samaki na Uvuvi pekee.

Mheshimiwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa takribani Mwezi sasa tokea uwe Rais huko nimeanza Kukuona ni Mtu unayependa sana Makamera na Kutupia Vitu vyako/ Mambo yako Mitandaoni. Na leo tena nimeona umetupia Picha uko ndani ya Ndege angani ukisoma Faili moja hivi kama vile alivyowahi kufanya Mzee Mwinyi na hata Rais Mstaafu wa Marekani Obama.

Ushauri wangu Kwako Mheshimiwa hebu punguza sana hizi mambo na fanya Kazi ngumu Kwanza ya Kuijenga vyema Zanzibar Isles, waunganishe vyema Wazanzibari na kazania mno masuala mazima ya Uchumi na Elimu zao na huko baadae Zanzibar yako ikikaa sawa sasa unaweza hata kuwa unatutupia Picha zako zingine ukiwa Dinning Room na Mkeo Bi. Mariam mnakula Kuku.

Na kuna Mtu Mmoja hivi wa juu yako Yeye mambo hizi huwa hapendi kwakuwa anataka awe Maarufu Yeye tu nchi nzima. Kuwa makini nae kabisa!
Kikwete and Mwinyi are 2 different people. Kikwete alikuwa jangling. He was Minister wa madini, finance etc. ukijua hela Ali Ona o nje utatapika. I think Mwinyi is a genuine guy, he cares. Kikwete didn’t care. Alisafiri weekly kama Samia. Does Samia know where Songea is?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom