Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi 2025 usipokuja Kugombea Bara tutaandamana uje uwe Rais wetu Kilazima, tunakuhitaji mno

Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
Haujui unachokitaka GENTAMYCINE. Hivi Dr Mwinyi kaifanyia ZNZ au unadanganyika na uchumi wa buluu?

Yeye mwenyewe Dr Hussein Mwinyi hajui uchumi wa buluu nini zaidi ya kuuza visiwa vidogovidogo.

Kuhusu Samia kuweka mipasho mbona ni vizuri kuliko MITUSI tuliyokuwa tunaogeshwa na Mwendazake!!
 
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
Aje kutoka Zanzibar ina maana bara hakuna watu wenye sifa mpk tuongozwe na wageni? shame on you
 
GENTAMYCINE huwa una kaupeo ka kuona mbali.
Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu.

Binafsi nahitaji 2025 uwe Rais wa Bara.
 
Mwinyi Ni mtulivu na aliandaliwa kuwa kiongozi.

Ila sidhani Kama anaweza kuwa Rais wa JMT kwa sasa.

Nji ngumi hii( kwa sauti ya Mrema)
 
GENTAMYCINE huwa una kaupeo ka kuona mbali.
Na ndiyo maana nikawa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Mkuu.

Asante kwa Kuligundua hilo Kwangu na sijawahi ama Kuona au Kuhisi Kitu halafu 99% kisiwe sawa na ukiona Nakukosoa jua nimeona tatizo mahala na hata nikikushauri Jambo hakikisha unalifuata kwani Wegine utajiri pekee tuliopewa na Mwenyezi Mungu ni wa Maono na Upeo wa Kutukuka.
 
Inavyoonekana hakutakuwa na mchakato wa kuwapata wagombea wa awamu ya sita ndani ya ccm, maana hangaya ameshasema huu ni muhula wake wa kwanza wa awamu ya sita.......twende kazi.
 
Malila nimeku miss, ile chai yetu na kilimo vinaendeleaje?
Mzima ndugu yangu,

Chai hatujafanya siku nyingi,ila maproject yapo mengi mkuu. Kuna wanaovuna sasa hivi, wanaosubiri mavuno, wanaootesha tena, wanaoingia projects mpya, ilmradi siku hazigandi. Looh.

Ipo haja tuiite chai yetu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mwinyi Ni mtulivu na aliandaliwa kuwa kiongozi.

Ila sidhani Kama anaweza kuwa Rais wa JMT kwa sasa.

Nji ngumi hii( kwa sauti ya Mrema)
Subirini kwanza muuone huo uchumi wa BLUU ndiyo mumfanyie assessment. Japo nasikia wenyewe kule hawamkubali kabisa
 
Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom