dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 39 (2) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984 amemteua Mhe. Balozi Seif Ali Iddi kuwa makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umeanza leo tarehe 28 Machi 2016.
Uteuzi huo umeanza leo tarehe 28 Machi 2016.