Rais wa Zambia Edger Lungu, Apigiwa Magoti na Waziri Wake

Bora uyo waziri pembeni ya Rais kuna kasisi anaonekana anaweza kusema alikua anaombewa kuliko uyu mtoto wa baba
1.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa mnaelewa kwa nini Yule mkuu WA mkoa Rutengwe alivyotumbuliwa alilia Kama mtoto mdogo? Chezea madaraka na kilimo kwanza unatembelea hujui gharama za service wala Mafuta!
 
Jee Hii?

Rais Banda wa Malawi akizungumza na Kikwete?

Watu wa Malawi na Zambia ndiyo utamaduni wao. Kama unakumbuka wakati wa Kamuzu Banda ililetwa picha kwenye Daily News ikimwonyesha Balzo wa Malawi kule Harare akiwa amepiga magoti yeye na mke wake kumpokea Rais Kamuzu Banda.

banda-1.jpg


Na huyo hapo chini ni mawaziri wa Malawi na Rais wa Malawi
Chilima-kneels-to-apm.jpe


Minister-of-Trade-and-Industry-Joseph-Mwanamvekha-congratulates-President-Peter-Mutharika-after-the-official-launch-of-Buy-Malawi-Strategy-CStanley-Makuti.jpg


Rais wa Malawi na wa Zambia wakibadilishana mawazo
bingu-sata.jpeg
nimekuelewa asante kwa elimu
 
Back
Top Bottom