Rais wa Zambia Edger Lungu, Apigiwa Magoti na Waziri Wake

Si shangai ndo viongoz wa Africa walvyo

Maana hata museven alisema hata aachia ngaz labda waende msituni kama yy alivofanya kukipata hicho kiti
 
17424807_923401701132784_8876511010999391239_n.jpg

Rais wa Zambia Edgar Lungu akinyenyekewa na waziri wake wa Mifugo na uvuvi,
Huyu Waziri ni kiazi Ulaya..
 
17424807_923401701132784_8876511010999391239_n.jpg

Rais wa Zambia Edgar Lungu akinyenyekewa na waziri wake wa Mifugo na uvuvi,
Maisha magumu waziri na pamba zake za kuungaunga koti mtaa wa Kongo suruali msimbazi lzm atoe mnyenyekeo wa haja
 
Bila shaka huyu ni dikteta uchwara mwingine.
Kabisa na huyo waziri naye hajajielewa na utakuwa ufanyaji kazi wake ni wa wasiwasi mana kama angekuwa anajiamini na kazi anafanya inavyopaswa asingekuwa na muda wa kuchafua suruali kwa kupiga magoti.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kawaida kabisa inaonekana watawala wa kiafrika wanapenda sana kuabudiwa, waliopenda kuona wakikosolewa hata wanapocheka, na wasaidizi wao kwa sababu ya maisha hawana swali, mwisho wataanza utamaduni wa kulambwa miguu kwa jinsi wanavyojifanya miungu.
 
Inasikitisha sana kumdhalilisha binadamu mwenzio kiasi hiki.

Kabisa na huyo waziri naye hajajielewa na utakuwa ufanyaji kazi wake ni wa wasiwasi mana kama angekuwa anajiamini na kazi anafanya inavyopaswa asingekuwa na muda wa kuchafua suruali kwa kupiga magoti.
 
Kwa nn tuna watawala ambao anawa akili wakati wazeee wao walikuwa na akili
 
Back
Top Bottom