Msafara wa Rais wa Zambia kuelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN watumia ndege ya abiria ya Qatar Airways ili kupunguza gharama zisizo za lazima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,319
Rais_Mpya_wa_Zambia_akipanda_ndege_ya_shirika_la_Quatar_Airways_ili_kuelekea_Ney_Work_kushirik...jpg

Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)

Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .

Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .

Mungu ibariki Zambia

====

PRESIDENT HAKAINDE HICHILEMA LEAVES FOR US VIA QATAR AIRWAYS

A QATAR Airways Commercial plane carrying President Hakainde Hichilema is shortly taking off from Kenneth Kaunda International Airport in Lusaka.

Fellow citizens,

We have left the Country for the United Nations’ General Assembly that is being held in New York, United States of America.

While in that Country, we will ensure that all engagements and meetings will discuss matters of interest to the people of Zambia.

Our focus areas during these engagements will be on economic development, jobs, business opportunities, education and quality health care services for the people of Zambia.

Just like we promised before taking office, we will ensure prudent management of public resources and have therefore travelled with a lean team that is composed of Ministers of Foreign Affairs and Finance, Honourables Stanley Kakubo and Dr Situmbeko Musokotwane respectively.

At the General Assembly we will share our development plan for Zambia with the wider global community. As we address this meeting we will present a case for that child in Chipulukusu, Chief Kambombo, Chama, Mugubudu or indeed Sikongo.

Our focus is turning around our Country’s economy and yes, we are working round the clock to ensure that this comes to fruition.

May God Bless you all and May God Bless our Country.

Hakainde Hichilema
President of the Republic of Zambia
 
(Kajamba nani)

Wewe.

Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .

Tuambie ni pesa kiasi gani imeokolewa katika hiyo safari kiasi kwamba iweze kujenga UPYA ZAMBIA yote ??!
 
View attachment 1945516

Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)

Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .

Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .

Mungu ibariki Zambia
Magufuli hakwenda kabisa lakini hukuona jinsi alivyopunguza matumizi. Unajifanya kuona ya Hichilema tu. Unafiki utakuua.
 
Umesahau malengo ya ROYAL TOUR?!!

Rais anasafiri na ndege yetu lengo likiwa ni kuitangaza TANZANIA KIUTALII kipindi hiki cha CORONA....

Ndio maana UTAWALA wa awamu ya 5 ukaziandika maneno ya "kitalii" katika mbavu za ndege hizo.....

Mfano "AIRBUS A220" imeandikwa "Ngorongoro"....

#SiempreJMT
 
View attachment 1945516

Rais mpya wa Zambia Mh Haikainde Hichilema , ameelekea Marekani kwenye Mkutano wa UN kwa kutumia usafiri wa watu wote wa ndege ya Qatar Airways , na taarifa zinaonyesha kwamba amepanda daraja la chini kabisa maarufu huko Tanzania kwa jina la (Kajamba nani)

Msafara huo mzito wa Mh Hichilema umeamua kupunguza gharama za safari kwa kuacha ndege binafsi ya Rais ili pesa itakayookolewa ijenge upya Nchi yao kwa lengo la kupunguza Umasikini .

Mh Hichilema ameongozana na maofisa wengine Watatu (3) tu .

Mungu ibariki Zambia
You can’t confirm kama inapunguza cost
 
Mh.Rais Hichilema ni TAJIRI KWELIKWELI.....

Kwa kuwa ametokea UPINZANI....ni lazima aanze na SIASA HIZO ZA KUWAHAMASISHA WANAZAMBIA....mh.Hichilema anakaa nyumbani kwake badala ya Ikulu.....ni sawa na aliyekuwa Rais wa Uruguay na Rais Ahmednejad wa Iran 🤣🤣

Wapinzani wakichukua nchi huwa na MBWEMBWE sana....ha ha ha ha

#SiempreJMT
 
ubishi wenu ni jambo tulilozoea , vipi kuhusu idadi ya watu ?
Does it change idadi if you are going Kwa private au commercial?

Jakaya used to travel Kwa commercial but Unajua walikua wanasafiri wangapi?

In bulk… wengine Swissair, wengine Emirates, wengine Qatar na wengine klm

Na Unajua privileges zao kwenye ndege? Classes za bus/cabin wanazo chukua? At least Kwa atc kuna limit ya business na first class

Unajua security details za commercial?

Unajua cost ya multiple handling yao wakiwa ughaibuni?

Unajua kwamba it may take less than 45% ya flight kulipa gharama zote za trip? So if we used ours gharama zinakuaje ?

Anyways… mkiamua kukomaa na emotions huwa mnapaki gari iliyowabebea Akili kituo cha polisi
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom