Rais wa zamani wa ufaransa afikishwa mahakamani

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=2]FRIDAY, NOVEMBER 23, 2012[/h]
[h=1]Na Sabina Chrispine Nabigambo[/h][h=1]Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amefikishwa mahakani na kusomewa mashtaka ya matumizi ya fedha zisizo halali katika kampeni za kuwania urais wa nchi hiyo mwaka 2007[/h]
[h=2]

[/h]

Sarkozy
Sarkozy ambaye amepoteza kinga ya kushtakiwa baada ya kuondoka madarakani mwezi mei na kiti chake kurithiwa na rais wa sasa Francois Hollande anakabiliwa na mashtaka dhidi ya matumizi ya fedha zisizo halali katika kampeni zake za urais wa mwaka 2007.

Sarkozy amefikishwa mahakamani akituhumiwa kupokea jumla ya euro laki moja na elfu hamsini 150,000 toka kwa mwanamke tajiri Liliane Bettencourt na kuzitumia katika kampeni zake.

Sambamba na hayo Sarkozy pia alikiuka sheria ya uchaguzi ya nchi hiyo ambayo kikomo cha matumizi ni euro 4600 pekee.

Rais huyo wa zamani aliwasili sambamba na mwanasheria wake Jean-Michel Gentil huku vyombo vya usalama vikiimarisha ulinzi.

Sarkozy amekanusha kuhusika na rushwa ya aina yoyote ile, hata hivyo kama atakutwa na mashtaka atakabiliwa na adhabu kama ilivyokuwa kwa Rais aliyemtangulia Jacques Chirac ambaye alihukumiwa kifungo alipotoka madarakani mwaka 2007 baada ya kukutwa na hatia ya kutokuwa mwaminifu na ubadhirifu.





 
JK, MANGULA, MEGHJI nk lazima nao washitakiwe 2016 kwa pesa za EPA za 2005


Kama KATIBA yetu INGEKUWA Haiegemei CHAMA TAWALA; HAO wote wangetinga MAHAKAMANI...
Ni kwanini MTOTO wa RAIS ana BIASHARA kibao lakini ANASHINDWA kulipa MKOPO wake Wa SHULE? Wakati VIJANA wengine ambao WAZAZI wao ni Wakulima wa kutumia JEMBE hawakuweza KUSAMEHEWA?

Tangu lini UMESIKIA POLISI na WAKUU wa SERIKALI kupinga MIKUTANO na MAANDAMANO baada ya UAMSHO na SHEIKH PONDA... BADO Serikali haijasema kuwa PINGAMIZI za MIKUTANO ya HADHARA --- LAKINI CCM INABEBA NDEGE HIYOOO kwenye MIKUTANO ya HADHARA.... HAKUNA ANAYEULIZA POLISI ITAWASHIKA...
 
Back
Top Bottom