Rais wa Yemen alonga AL-Jazeera...sura imeungua!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Yemen president appears on TV


20117717310187734_20.jpg



Yemeni President Ali Abdullah Saleh, his face burned and his hands covered with bandages, has appeared on television for the first time since he was wounded in a bomb attack on his palace in Sanaa.

Saleh, who was hospitalised in Saudi Arabia after the June 3 attack, said he had undergone "more than eight successful operations" and called for dialogue in his recorded speech, broadcast on Yemeni television on Thursday.

In his brief speech, he said those who have sought to drive him from power had an "incorrect understanding of democracy."

More than four months of popular uprising seeking to push the longtime ruler from power have shaken the impoverished Arabian peninsula country.

Saleh said he welcomed power sharing as long as it was within the country's constitutional framework.
State television showed fireworks lighting up the sky above the capital at the end of Saleh's speech, as the president's supporters celebrated his appearance.

"Where are the men who fear God? Why don't they stand with dialogue and with reaching satisfactory solutions?" Saleh asked during his speech.

He also thanked Abdrabbu Mansour Hadi, the vice president, who has come under domestic and international pressure to assume power during the president's absence, "for his efforts in bridging gaps between all political parties".

Ameen Al Himyari, a Qatar University professor, told Al Jazeera that the US is not placing enough pressure on Saleh to step down.

"The interest of the Americans and the Saudis is to support the protestsers, the revolution. It's peaceful and they can guarantee security," Al Himyari said. "Supporting the corrupt regime its going to create a lot of problems."

'Disappointment'

Al Jazeera's Sherine Tadros, who has reported extensively from Yemen, said:

"I think it will come as a disappointment to tens of thousands of people who have been protesting in Sanaa. They were watching this message to try to figure out if he is going to come back and if there is going to be some kind of transition of power.

"But the main thing here is that we saw him in vision. We've been waiting for this message for weeks. Since the explosion we were told that he was going back to Yemen.

"Certainly when people watched him, they would see a man who looks defeated in some way, without his glasses and suit. He didn't look his normal self. He was in his tone defiant and in his speech very eloquent.

"There is a feeling there that the vice president is a more conciliatory figure in the country. When I was in Yemen at the beginning of the protests, the meetings with the opposition would take place at the VP's house.



Yemen president appears on TV - Middle East - Al Jazeera English
 
Huyu jamaa ana bahati sana, kunusurika kifo, aliungua 70% of the body. Ila kama anataka kuendelea kuishi kwa amani ajiuzulu kwa kisingizio cha afya, miaka 34 inatosha, nimemuangalia aljazeera he looks defeated and disfigured. Akirudi Yemen sidhani kama ataeleweka.
 
Ndio faida ya ubabe hiyo yote Mungu amemeonyesha, Yemen wameteseka sana kwa sababu yake
 
Politicians are like junkies. Ni vigumu kwa teja kuacha tabia yake. Sasa jamaa usoni anaonekana kabisa kwamba amenyong'onyea na nguvu zimemuishia lakini bado tu. Dah, kazi anayo. Itabidi ale mirungi kwa sana!
 
duhh
huyu jamaaa kwa kweli kavunja rekodi...
yaani na kupigwa bomu na operesheni nane
na maandamano zaidi ya miezi sita
bado kidume hakitaki kujiuzulu

ha haaaaa haaaa
huyu jamaaaa si mchezo,ni mpaka wamuue kabisa naona
 
Anasubiri yamuue bana, madaraka matamu zaidi ya uchungu wa kifo.
 
sasa hivi kuuwawa itakuwa ngumu
yuko chini ya hospital arrest ya saudia arabia
kakini bado tu anaongoza nchi kwa njia ya simu lol
 
sasa hivi kuuwawa itakuwa ngumuyuko chini ya hospital arrest ya saudia arabiakakini bado tu anaongoza nchi kwa njia ya simu lol
Kesharudi Mkuu! Yuko ndani ya koloni lake tangu juzi! Na kahutubia kupitia luninga jicho moja liko ndani ya bandeji kama yu ktk mafunzo ya kulenga shabaha! Marekani kiiiimya!!!
 
Jamaa anataka kufia Ikulu eeenh we mwache safari hii wanamloshtisha kabisaaaaa
 
Hivi ndivyo Allah s.w anavyowalipa waliopindukia katika dhulma hapa hapa duniani na kesho akhera ni jahannam.
Angalia yanayomkuta Ariel Sharon aliyemuua skh Ahmed Yassin.Fedheha kama hii itawakuta akina Musharraf na wafalme wengine wa Mashariki ya kati wanaotoa majukwaa ya kupigwa dini ya Mwenyezi Mungu.
 
Jamaa anataka kufia Ikulu eeenh we mwache safari hii wanamloshtisha kabisaaaaa
Hii nimecheka sana. Itakuwa kama ambavyo Alqaeeda "wakifa katika jihadi" huingia peponi, na huyu naye anafikiri akifia ikulu pepo tayari. Lol!
 
Iwapo aliathirika na bomu kiasi hata baada ya matibabu hali iko hivi.Sasa yule aliyezungumza akiwajulisha wananchi hali yake mara baada ya tukio alikuwa ni nani?.
 
Back
Top Bottom