Rais wa wanafunzi chuo cha St Joseph kufukuzwa chuo kwa kusema ukweli wizarani

Kutokana na sekeseke linaloendelea katika chuo cha St Joseph baina ya wahindi na uongozi wa serikali ya wanafunzi ikiongozwa na Mh. BACHUBILA HARUNA.

Uongozi wa chuo umedhamiria kwa namna moja ama nyingine kumsimamisha masomo hasa kutokana na kupeleka barua WIZARA YA ELIMU kuhusu matatizo mbalimbali yanayowakabiri wanafunzi.

Matatizo hayo yakiwemo:

1.Matokeo mabaya ya mitihani ikiwa ni dalili za wahindi kuwapa wanafunzi wengi SUPPLEMENTARY ambapo kila mtihani utarudiwa kwa Tshs. 10000/.

2. Malalamiko juu ya Ada za mitihani ambazo waziri wa elimu, Prof Ndalichako alizifuta lakini wanafunzi bado wanazilipia ada hizo.

3. Malalamiko juu ya elimu inayotolewa chuoni hapo ambapo bado inahitaji maboresho.

4. Ulipaji wa ada ambapo Rais wa chuo, Mh. BACHUBILA HARUNA alikubaliana na uongozi wa chuo kwamba wanafunzi walipe kwa awamu lakini baadae wakati wa REGISTRATION wakamgeuka.

19d401e4f36dcf800408de90def3eabd.jpg
6f9da8489df349fd3dfe8c0c48cdbc5e.jpg
hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe kitaeleweka tuu.
 
Hiko chuo kimeniharibia maisha system yangu ya elimu inayumba kutokana hao wahindi baada ya kuchaguliwa 2015/16
Chuo cha kipumbav sana hiki sijawahi kuona ,kinamapungufu ya kufa mtu simshauri mhitimu yeyote either from Diploma au From Advanced level to join there it's better for him or her to postpone his or her studies lather than being deceived and join there coz he or she will surely live to regret this decision forever like what my little brother is facing right now. Hao wahindi hapo kuchuma pesa tu ni uozo na uvundo mtupu yani jipu lililotunga usaha
 
Hiko chuo kimeniharibia maisha system yangu ya elimu inayumba kutokana hao wahindi baada ya kuchaguliwa 2015/16
pole sana mkuu, wahindi ni makanjanja sana. muda mwingine anko anaongea ukweli ulio mchungu kama alivosema bora vyuo viwili vyenye weledi
 
Nimegundua sisi wanafunzi tunalialia sana na hatufanyi juhudi..nikienda IFM wanalia sup nying...DIT,SUA,Ardhi..nk...kote utakuta malalamiko..sasa nyie uko si msome muokoe hizo elfu 10..btw nikikuambia ya chuo chetu utarudisha hyo barua..sema hatugom n cha government
 
You have absolutely no idea of the contemporary situation and what the he'll going on in that college . Here is proof of this ,Some of the students who got supplementaries they went for appealing the results and according to the awards and examination department they were given answer scripts according to the subjects or modules which they enquired and alot of weaknesses were noted including poor marks counting ,incorrect marking etc. and worst of all this department persuaded those students not to dare even spill out weakeneses which they observed things which shows that those exams were not marked carefully and they conspired to do that deliberately to unleash enormously supplémentaires for most of the students as possible so that they can suck easy money per head within a college
 
Acheni kujifanya wana harakati!!!
 
Mkuu soma bana.. Af utakuta somo lenyewe unalolialia ni la story..apa mimi sem inakaribia kuisha kuna somo la calc huyo prof kaingia mara 2 tu af hasolve kitu anaelezea tu...mtihan wake sasa...mkuu soma tu shida tunazo weng
 
You have absolutely no idea of the contemporary situation and what the he'll going on in that college . Here is proof of this ,Some of the students who got supplementaries they went for appealing the results and according to the awards and examination department they were given answer scripts according to the subjects or modules which they enquired and alot of weaknesses were noted including poor marks counting ,incorrect marking etc. and worst of all this department persuaded those students not to dare even spill out weakeneses which they observed things which shows that those exams were not marked carefully and they conspired to do that deliberately to unleash enormously supplémentaires for most of the students as possible so that they can suck easy money per head within a college
In other words this university was using supplementary as other source of income,by sucking money from students.
If this is true, minister of education will have to shut down St.Joseph for a period of time .until they fix everything
 
Back
Top Bottom