wewe unayesema huyu ni rais wa wadanganyika jitokeze wazi wazi kesho useme hivyo ndo utajua huyu ni rais au sio.
jamani mbona reception ya mrema imeharibika hivyo.
Naskia kashaikanyaga.
wewe unayesema huyu ni rais wa wadanganyika jitokeze wazi wazi kesho useme hivyo ndo utajua huyu ni rais au sio.
Mwoneeni huruma Kisukari kinamsumbua sana!nalabda angeshafariki kama siyo jk kumpeleka India ndiyo maana hawezikumsema chochote jk alikuwa akate kamba jk alituma ndege KIA ikamchukua hadi dar dar akapanda emirate india hali yake ilikuwa tete!!ila msimzushie eti kayakanyaga.jamani mbona reception ya mrema imeharibika hivyo.
Mwoneeni huruma Kisukari kinamsumbua sana!nalabda angeshafariki kama siyo jk kumpeleka India ndiyo maana hawezikumsema chochote jk alikuwa akate kamba jk alituma ndege KIA ikamchukua hadi dar dar akapanda emirate india hali yake ilikuwa tete!!ila msimzushie eti kayakanyaga.