Rais wa Wadanganyika akisakata kiduku

Anamwambia big up mr. president uwe unanikumbuka kumbuka, pia mnipeleke marekani nikatibiwe maana nimekuwa mbunge
 
Mbona mnabadili mada?mrema kawafanya nini ?muheshimiwa kikwete anaburudika baada ya kazi nzito za kujenga taifa
 
Back
Top Bottom