Rais wa vijana Tanzania: Spika Ndugai achunge ulimi wake

Rais wa bodaboda , rais wa bao na rais wa wasafi nchi nzima ushawahi kusikia uchaguzi wao? Changamkia fursa ndugu yangu.

Kuna magepu kibao ya urais yamebakia kajaze gepu mojawapo haraka sana
Kuna raisi wa vichaa pia gepu iko wazi asee
 
JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
Unaota!
 
Inaonekana wazi hujui unachokiandika, kichwani umejaa fungus.

Wakati wa Mkapa chama kikuu cha upinzani kilikuwa CUF.
Najua sana kuinuka chadema au chama chochote unaangalia miaka ya nyuma ni kama kupasi masomo ni matokeo ya bidii ya nyuma nguvu ya kukubalika chadema ilitokea kipindi ya mkapa kipindi cha kikwete ilikuwa ni matokeo bora ya nyuma
 
Soma au sikiliza hotuba ya Tundu Lisu kuukaribisha mwaka 2022 ndio utajijuwa ubongo wako umejaa fungus.
Unajua hotuba wewe au unaropoka... katika nyuzi ambazo zimefunguliwa hapa jf, nambie kama hata kwa bahati mbaya umeisoma hiyo hutuba yake au gazeti lolote like kubwa la tz
 
😁😁😁
16413743210542.jpg
 
Back
Top Bottom