Rais wa Uturuki aitaka Marekani imrudishe nyumbani mhubiri alie nyuma ya mapinduzi

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,179
2,940
Akisema kuwa sasa serikali ina udhibiti, Rais wa Uturuki, Recep Erdogan ameitaka Marekani kumkamata na kumrudisha nyumbani mhubiri wa kiislamu alie uhamishoni nchini Marekani, Erdogan anamtuhumu kwa jaribio la mapinduzi ambalo limeacha karibu watu 200 wakiaga dunia.

160716072631-06-turkey-coup-0716-exlarge-169.jpg


Declaring his government firmly in control, a defiant Turkish President Recep Tayyip Erdogan on Saturday demanded the United States arrest or extradite an exiled Islamic cleric he blames for a coup attempt that ended with nearly 200 people dead.

The cleric, Fethullah Gulen, living in self-imposed exile in Pennsylvania, suggested that overthrow and assassination attempts have been staged in the past though he did not directly accuse Erdogan of deliberately plunging Turkey into chaos.

The upheaval exposes deep discontent within the military ranks. But less than 24 hours after a night of violence, questions remained about who was behind it and why they decided to act now.

The ramifications of the coup attempt on the political system of a NATO ally and partner in the U.S. fight against ISIS also remain unclear.

Erdogan's call for U.S. involvement in punishing his rival comes after Turkish authorities closed the airspace around Turkey's Incirlik Air Base, where his government allows the American military to launch operations in the air campaign against ISIS in Syria and Iraq.

"This country suffered a lot in the hands of the Gulen Movement," Erdogan told throngs of supporters near his home in Istanbul.

"I call on the United States and President Barack Obama ... (to) either arrest Fethullah Gulen or return him to Turkey," he added. "If we are strategic partners or model partners, do what is necessary."

SOURCE: CNN
 
Mhubiri! Wahubiri siku hizi wako nyuma ya fujo? Mapinduzi? Mauwaji? Ugaidi? Mahubiri ya aina gani haya?
 
Ina maana Uturuki ipo vulnerable kiusalama kiasi hiko? Mtu anaweza kuorganise mapinduzi kirahisi hivyo?
Watasema kwanin waliangusha ndege ya Urusi.
 
hapa ndio ninapochoka watu mapinduzi yangefanikiwa lawama angepwa mmarekani na mapinduzi yameshindikanika lawama anapewa mtu ambae yupo uhamishoni marekani
 
Hatuna teknolojia ya kudungua ndege za Russia.

nadhani hata walipokuwa wanakatiza anga ya uturuki walijua uturuki haina teknolojia ya kuwadungua lakin matokeo yake chalii. na hapa bongo watashaa kama walivyoshangaa huko turkey
 
Turkey has more loads of her internal problems than external ones.
Issues of Kurds sovereignty and integration into the Turkey Government is a thorn in a flesh which do not require foreign nations interventions besides her own wisdom on how to off load the problems currently on her back.
No witch hunting.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom