Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
Utawala wa Rais Yoeri Kaguta Museven ulioshuhudia marais wa Tanzania Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Benjamini William Mkapa na sasa Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kukabidhi lakini yeye angali yupo madarakani. Utawala wake utakoma ifikapo tarhe 12 Mei 2016 kulingana na taratibu walizojiwekea.
Majirani zetu wengine Burundi hali ni tete inapofika suala la kubadilisha utawala, ukienda Rwanda nako hajui nini kitatokea kutokana na ung'ang'anizi wa madaraka. Mungu pekee anajua nini kitatokea mwakani nchini UGANDA ikiwa Museven atapingana na utaratibu.