Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga

Kila kitu chenu, ni ushetani tu, kuanzia kuabudu masanamu mpaka ku!awitiana na mapadri na maaskofu, kuharibu watoto wadogo ndani ya kanisa katoliki mpaka Umoja wa Mataifa unapiga kelele, unabisha nini wewe?

Unabisha hakuna ushoga ndani ya kanisa katoliki?

Waacheni kuteteana maovu, nafsi zenu haziwasuti?

Inasikitisha sana tena sana. Hiyo ni laana ya Mungu.

Ni kweli sisi tunajitambua kuwa tu wadhambi na ndio maana kila wakati tunaikimbilia huruma ya Mungu.
 
Ni kweli sisi tunajitambua kuwa tu wadhambi na ndio maana kila wakati tunaikimbilia huruma ya Mungu.
Sasa si mnasema dhambi zenu zimeshabebwa na Yesu?

Vipi tena mnakuwa na dhambi?

Vipi lakini kashfa za kanisa katoliki na wachungaji wenu kulawitiana? yaani mpaka kondoo wadogo hawaachi.

Hivi vitoto vya kondoo Kiswahili vinaitwaje? Maana vya Ng'ombe ni ndama.

Hivi hamuuoni huo ushetani ndani ya kanisa katoliki au ndiyo labda wanawafundisha "hayo ni mapenzi ya baba" kwa sauti ya pengo.
 
Are you a new discoverer of those problems?
Ohoo, kumbe unajuwa kuwa ndani ya kanisa katoliki mpaka Vatikano mwenyewe kwa papa kuna "problems".

Wewe ni Mkatoliki wa kwanza ni nadhani kisha na nae mawazo humu akakiri.

Sasa Kijana, hivi kwanini unavumilia hali kama hiyo ya kishetani? Ya ushoga wa wachungaji wa kondoo ya wachungaji kuharibu watoto karibia dunia nzima.

Hivi kweli haya hayapangwi kwa makusudi kabisa? Mimi Naamini huu ni mpango wa siri ili kanisa lkendelee kubaki na wanaouiliunga mkono, maana ukishazoweshwa ushoga na wachungaji utaliacha vipi hilo kanisa? Fikiri.

Ndiyo maana Duterte anasema kawaoweni mapadri na maaskofu.
 
Yeye ametoa ushauri tu kwamba waruhusiwe kuolewa kuliko wanavyojibanabana sasa tatizo lake lipo wapi, wacha waoane.

Kwa hiyo watu wakiwa wanaiba unawa-empower ili waendelee kuiba kihalali? Kwa Durtete kudai mapadri waolewe anamaanisha jambo hilo sasa liwe rasmi.Je,ni kweli anataka Kanisa lifungishe ndoa za jinsi moja?
 
Kuna ukweli kiasi fulani,najua ningumu kuchange waweke visheria sheria vikali maana wanaharibu sana watoto
 
Huyo rais hawezi kuwa mkatoliki, labda amewahi kuwa mkatoliki na sasa ni mfuasi wa shetani na Mohammed. Hakuna mtu ametetea mapadri kufanya ushoga, shoga ni mtu siyo kanisa hawezi shambulia kanisa awashambulie hao mashoga wenzie. NA Ndiyo maana nikasema kuna masheikh na maimamu wengi wanatuhumiwa kwa ushoga sasa kwanini msiushambulie uislam na kuwashauri hao masheikh wenu waolewe?
Amefikisha ujumbe wake kwa taasisi.Amefanya vyema,hajakosea.Tatizo kama hili linapojitokeza, ujumbe ufikishwe kwa kanisa katoliki na sio mtu binafsi.Kanisa ndio lenye wajibu wa kuliongelea hilo, ikiwezekana kuomba msamaha kama alivyofanya papa Francis.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambao ni mashoga ni makosa yao binafsi si msimamo wa Kanisa Katoliki. Hata walioko kwenye ndoa wanabaka, ni mashoga, wanalawiti, Wana vimada, wanachepuka ila hayo pia ni makosa yao binafsi si msimamo wa ndoa.
DAH ASEE WEWE NI MMOJA KATI YA BIG THINKERS ASEE, JAMIIFORUMS DESERVES YOU...............
 
Waktoliki huwa hatuna muda wa kubishana na dini ambazo zimeacha kuhubiri injili na msahafu zinashindana kulitukana kanisa katoliki,mahubiri na mafundisho yao ni dhidi ya kanisa katoliki.PETRO WEWE NI MWAMBA NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU NA HALITATIKISIKA MILELE DAIMA......Nyie waislamu na wapumbavu wengine endeleeni kupambana na kanisa katoliki SISI KANISA MOJA KATOLIKI TAKATIFU LA MITUME tunaihubiri injili ya bwana Yesu.
Kwani huyo rais ni muislamu
 
Suala la Mapadri kutokuoa ni kitendawili, na ukatoliki wangu siungi mkono kabisa padri kutokuwa na mke.

Vile vile termination ya Bwana Duterte inaambatana na chuki zake kisiasa na mataifa ya Magharibi. Zingatieni, ushauri angepaswa kulindia heshima Imani ya hata wanaowaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilibidi ushauri atoe kwa lugha ya staha, ingawa ushauri wake ni mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom