Rais wa TFF amshukuru Rais Magufuli kumteua Makonda kuwa RC Dar

KAYABOMBICHI

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
296
142
Akiongea na kituo cha clouds fm kipindi cha michezo usiku huu ktk kusheherekea miaka miwili ya uongozi wake hapo Tff bwana karia amemshukuru Raisi Magufuli kwa uteuzi huo kwani umeimarisha sekta ya michezo nchni
 
Sekta ya michezo nchini ama mkoani DSM!!?
 
Huyu naye naona b do anataka kupewa shavu na magu utadhani TFF hakuna ulaji! Fake sana huyu!
Akiongea na kituo cha clouds fm kipindi cha michezo usiku huu ktk kusheherekea miaka miwili ya uongozi wake hapo Tff bwana karia amemshukuru Raisi Magufuli kwa uteuzi huo kwani umeimarisha sekta ya michezo nchni
 
Nilishawahi kusikia kwamba ana asili ya anakotoka Naibu Waziri mmoja. Hiyo ni njia ya kujikinga na kuulizwa uraia kama Kibendera cha kona.
Ni muhimu kuunga mkono juhudi zama hizi.
 
Back
Top Bottom