TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Hili ni pengo kubwa sana kwa Taifa letu. Hakika MOLA wetu ndiye alitoa, na pia ndiye ambaye amemtwa mja wake. Jina lake BWANA na likapate kuhimidiwa. Amen Pole nyingi sana kwa familia yake, na pole nyingi pia kwa Watanzania wote ambao wanaguswa na msiba huu mzito.
 
Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali Pema peponi .

Amemaliza safari yake hapa duniani kwa kuacha History na Legacy yake ya kuwa Rais wa Tatu wa Tanzania... Jina lake litaishi milele kwenye Historia ya nchi hii.

Sisi tuliobakia hatuna budi kuacha history na legacy zetu pia zitakazoishi kwa kila aina ya kitu tunachofanya and TRUST ME inawezekana kwa Kumuomba Yeye aliye hai MWENYEZI MUNGU.


R.I.P Ben
 
Mbona maTV yanaendelea na Mambo Yao?

Alale Pema Peponi
Apumzike kwa Amani
Me mwnyw nilikuwa nachek TBC then nkakuta mzee baba yuko mbele ya tv yangu anayasema hayo lkn hajafunguka mengi kuhusu msiba wetu huu
 
Mtu wa miaka zaidi ya 80 akifa nako lazima awe anaumwa?
Kweli ndugu yangu; life expectancy ya watanzania ni miaka 66. Nyerere alikufa akiwa na miaka 77, Ruge alikufa akiwa na miaka 49, Amir Jamal alifariki na miaka 73, na Iddi Simba alikuwa na miaka 75. Kwa umri wa miaka 80 kweli hatuhitaji kutafuta mchawi tena.

Ben apumzike kwa amani; kuna mengi mazuri alifanya ingawa pia kuna mabaya alifanya. Tutamkumbuka sana kwa mazuri yake .
 
Mungu Amlaze pema peponi Mzee wa Ukweli na Uwazi.... Ame acha pengo kubwa mno.. Magufuli kapoteza mshauri muhimu sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom